Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Inauma sana dadangu, Napitia maisha kama yako
Hili tatizo linaathiri mtu kihisia na kijamii. Usikate tamaa plzz kua na Imani juu yako, chukulia hili tatzo kama Changamoto ya kimaisha then find a way to be happy in whatever state you are...... Life isn’t fair to everyone here!!!!!!
 
Thank you sister,

Asante sister. Tunadharauliwa sana yani, lets prove them wrong
 
Hii Ni story ya pili kuacha ya faru dwas.

Yan unafeeel kabisa.

Ndugu wamemtenga

Marafiki

Classmate

Dc

Wanajf

Wote walimtenga.

Kujiua Ni Jambo baya halaf ukijumuisha na magumu aliopitia it is a heart touching story.

Mwenyezimungu amueke pale panapomstahiki.
 
Kama mwana jf yoyote, nimeguswa na story na kusikia jamaa amejiua. Nahisi na nina imani kuna sehemu hatujatimiza majukumu yetu vizuri. Tumeweka kejeri na masihara mbele sana, na maisha yetu yamekuwa tukiyachea kwa kudharauliwa kwa kujikweza.

Ila hatujachelewa sababu lazima maisha yaendelee na hili liwe kama fundisho kwetu. Niwaombe ma moderator wetu wawe ndio organizers wa watu wenye shida ambao wanahitaji msaada, wazichunguze habari zao na kupitia kwao watuaminishe ili tuwasaidie.

Hayo ni yangu ila kama kuna mtu anawazo bora zaidi alilete ili tusaidiane.😢😢😢😭😭😭
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napitia uzi naona Tanzia
Sikuwahi kumjua huyu
Dah
Hatimae azma yake ya kujiua imetimia
Dunia hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kipindi akiandika nyuz hizo alikuwa akielezea uhalisia lakini kilicho kuwa kikitokea ni kuwa watu walihisi labda anaigiza yale alio kuwa akiyaandika.

Kwa hivo jamamii ilio mzunguuka ili mtenga akaona ni bora ahamie jamii forum labda anaweza pata msaada hata wakimawazo, napo pia anakutana na vichwa vilivo jaa dharau na kebehi.

Kwa hivo alivo ona hakuna thamani ya utu wake bila shaka ndio kachukua uamzi mgumu.[emoji26][emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848] Bila shaka hii coment ilikuwa ni ya mwisho kwako Innalilah wa innalilah rajuon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…