Pompeo Trump
Member
- Jul 14, 2019
- 60
- 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni True story Mkuu tena jamaa alichoka mpaka kajiua tu....R.I.P Miguu ya kuku (mpauko)Mpauko, mmh pole sana ndugu kwa mitihani hiyo ila bado binafsi sijajua kama ni story au ni hadithi ya kweli
Hili tatizo linaathiri mtu kihisia na kijamii. Usikate tamaa plzz kua na Imani juu yako, chukulia hili tatzo kama Changamoto ya kimaisha then find a way to be happy in whatever state you are...... Life isn’t fair to everyone here!!!!!!Inauma sana dadangu, Napitia maisha kama yako
Thank you sister,Hili tatizo linaathiri mtu kihisia na kijamii. Usikate tamaa plzz kua na Imani juu yako, chukulia hili tatzo kama Changamoto ya kimaisha then find a way to be happy in whatever state you are...... Life isn’t fair to everyone here!!!!!!
Asante sister. Tunadharauliwa sana yani, lets prove them wrongHili tatizo linaathiri mtu kihisia na kijamii. Usikate tamaa plzz kua na Imani juu yako, chukulia hili tatzo kama Changamoto ya kimaisha then find a way to be happy in whatever state you are...... Life isn’t fair to everyone here!!!!!!
Sikumpotezea. Simu yangu ina tabia ya kufuta message.
Actually tulikaa kama mwaka hatukuwasiliana na namba yake sikua nayo na sikua na jinsi ya kumpata mpaka alipoweka uzi huku ilikua kama September au August.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si dhani kama inaweza kuwa hivo maana watu wamezoea dharau na kebehi.Nafikiri baada ya misiba hii kadhaa watu hawatajibu tena vibayaView attachment 1369811
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Masikini laiti kama nigeona hii msg mapema labda ningeweza kumsaidia kidogo kupunguza maumivu ya kudhihakiwa, kudharauliwa, kutothaminiwa na kukosa upendo kutoka kwa jamii iliyomzunguka.. Lkn nasikitika kuona kuwa nimechelewa..
Pumzika kwa Amani mdogo wangu umeondoka mapema huku ukionja machungu kutoka kwa watu uliowaamini.
Kila atakayesoma ujumbe wa kaka yetu huyu basi ajifunze kutomdhalilisha binadamu mwenzio, kuheshimu utu wa binadamu mwenzio, usitumie ukilema wake kumyanyasa nao... Mpe heshima yake km binadamu mwenzio, msaidie km unaweza na km huwezi mwambie ukweli...
Unajua kipindi akiandika nyuz hizo alikuwa akielezea uhalisia lakini kilicho kuwa kikitokea ni kuwa watu walihisi labda anaigiza yale alio kuwa akiyaandika.Napitia uzi naona Tanzia
Sikuwahi kumjua huyu
Dah
Hatimae azma yake ya kujiua imetimia
Dunia hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848] Bila shaka hii coment ilikuwa ni ya mwisho kwako Innalilah wa innalilah rajuon.Habari za leo!
Nimefurahi na kufarijika sana kwa hakika nina matumaini ya kuishi na nina sababu ya kuishi.
Nimeweza kupata marafiki wapya kwa uchache na naamini watazidi kuongezekaZaidi.
Vilevile siwezi ficha masikitiko yangu, nasikitika pia kwa kuuona mwamko na mguso wa mioyo ya walio wengi ukipotea mithili ya chozi la samaki baharini.
Niliamini kwamba nitaona mabadiliko ya mioyo ya watu, ubinadamu na upendo wa dhahiri katika kuniunga mkono, lakini haijawa hivyo na sina haki ya kulaumu yeyote yule.
Mwisho nimejifunza pia kuwa dunia hii imejaa machozi,kuna watu huishi katika dunia ya peke yao na najisikia huruma juu yao,natamani ningeliwasaidia hata kama si kwa chakula basi hata kulia ningelia nao.
Baraka nyingi ziwe juu yenu nyote.
Ahsante.
ROBIN.