Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Ngoja nicomment Kwanza japo sijazisoma sehemu zinazoendelea.For sure I can feel you brother.

Hujasema sababu iliyopelekea wewe kupoteza uwezo wa kusikia (hearing impairment).Na haujasema kama Kama una hard of hearing au una total hearing loss.

Pole Sana, Ni afadhari mtu aliyezaliwa kiziwi kuliko ambaye anapata ukiziwi ukubwani katika factor ya psychology lakini,japo viziwi waliowahi kusikia wana advantage kubwa sana ya uelewa wa mambo.Nasikitika kuona imepita miaka mingi lakini bado upo kwenye denial stage.

At least kama wazazi wako wangeku expose kwenye deaf culture mapema naamini sasa hivi ungekuwa umeshai accept hali uliyonayo.Trust me utamaduni wa deaf culture hauruhusu negative attitude towards deafness na hata viziwi wenyewe wanaoishi purely kwenye deaf culture hawatamani hata kusikia.

Hizo unazozipitia saizi ni stage tu za kuelekea acceptance.Ambapo utaikubali hali uliyonayo na utapata furaha ya kweli.

1.Denial stage
2.Bargaining
3.Depression
4.Acceptance.

Mungu akutangulie, Naamini utafanikiwa kwa sababu ulizaliwa ili ufanikiwe.
 
Very touching! Jaribu tena kwenda hospitali siku hizi kuna 'hearing aid kit', vifaa fulani unafungwa sikioni vinasaidia sana na niliwahi kusikia kama vinatolewa bure.

Usikate tamaa, bado kuna ambao hawana miguu wala mikono na wanaishi, mshukuru Mungu bado upo hai na jiamini, ukijiamini wewe tu inatosha, usitake watu wengine wakuamini! Bado njia ipo na haya yote siku moja yatabaki kuwa historia!
 
miguu ya kuku, Muhubiri anasema kila jambo na wakati wake.

Pole sana mkuu pole sana mdogo wangu , nmejikuta natokwa na machozi na moyo wangu kuumia.

Ni Msaada gan ambao unaisi ukisaidiwa na jamii iliopo humu. Kwa namna moja nyingine itakua ni msaada muhimu?.
 
We kaka unaishi wapi? Nipe namba yako ya simu kama unahitaji msaada wa mawazo. Tatizo lako dogo sana na limekwisha mpaka hapo, wala hauhitaji kuuamia kiasi hicho. Kuna watu wana majanga makubwa kuliko wewe na bado hawajamlaumu Mungu.
Kwahakika anahitaj msaada wa Hali ,kiroho na mali.
 
Hahahahaha ...hazina jipya hizo mkuu ..trust me " tena sometimes waweza kupiga show then baada ya tukio ukaanza kujutia maamuzi ..Wajua wanawake wana vutia sana wakiwa wamevaa nguo but wakivua hali huwa ni tofauti na ule mvuto ambao huwa unaupata pindi wanapo kuwa wamevaa (but sio wote )

Let's back kwenye topic
Meeen! your such a good boy gaadm it... a month sijamnyoa mtu vuuu not me! bro kaburini hakuna pussy we zubaa tu.
 
@Maiti, Bro nilishazisoma nyuzi kadhaa zako. Nalielewa tatizo lako vizuri kwa sababu hata mimi nilishawahi kuwa mhanga.

Na inawezekana wewe hujanifikia stage ambayo niliwahi ifikia.Sina uhakika kama wewe ulishawahi kufikiria ku commit suicide, Mimi ilibaki kidogo tu nijiue.

Utawalaumu wazazi wako bure, tatizo lako wewe ni trait ulizonazo naturally tu (sikatai mazingira yanaweza kuchangia pia).Nimewahi ona watu wengi ambao walipitia maisha kama yako utotoni, lakini walipokua mbona wanajiamini na kujikubali.

Your the result of your own creation. Change the way of thinking and live a new life you will get healed.Jikubali ulivyo usitake kujifananisha na watu.Tatizo lako wewe ni dogo Sana.
 
Very touching! Jaribu tena kwenda hospitali siku hizi kuna 'hearing aid kit', vifaa fulani unafungwa sikioni vinasaidia sana na niliwahi kusikia kama vinatolewa bure. Usikate tamaa, bado kuna ambao hawana miguu wala mikono na wanaishi, mshukuru Mungu bado upo hai na jiamini, ukijiamini wewe tu inatosha, usitake watu wengine wakuamini! Bado njia ipo na haya yote siku moja yatabaki kuwa historia!
Mkuu kwa experience yangu ndogo.Hearing aid hazina lolote hata mashuleni viziwi wenyewe mashuleni huwa hawapendi kuzitumia.labda Kama zipo ambazo zipo more advanced.

Tatizo la huyu bwana ni kwamba walichelewa kumu expose kwenye deaf culture, wangemuwahisha shule za viziwi mapema huyu Jamaa leo angekuwa Hana hayo mawazo kabisa.

The only cure is accepting the condition and considering it as normal.
 
Idiot Embicile,

hapo kwenye kubadilika ndo mtihani wa NECTA. i tried so hard, wanasema fake it till you make it ila kwangu ipo tofauti sana bado vitu vipo moyoni mwangu kutoka havitaki. nime give up kwa kweli nasubiri miujiza
 
Ndiyo, nimezungumzia za kwangu mkuu, kila mtu huamin zake ndizo nzito kuliko za mwenzie...

Naamini kila mtu ana changamoto, lakini kwangu naishi maisha dhalili sana rafiki yangu
Mkuu ni mitihani ya imani tu hiyo na unaonekana unaishindwa ila tambua kila binadamu ana changamoto.
 
Back
Top Bottom