Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitamani kukuunganisha na MTU akusaidie lakini umenivunja moyo kumtamka Mungu kwa lugha utumiayo na kulaumu wazazi wako kiasi hikoi wish ningeishi kama wewe ila ndo imeshindikana, Mungu amegoma na hataki niwe hivyo. anataka niwe mtu wa huzuni/hofu na depression muda wote ndo furaha yake hiyo. Ndomana akanipatia wazazi wasiojua wanamkuza mtu wa aina gani kwa malezi yao ya vitisho na kutojali ndani yake.
Ahsante sana
Pole sana, kwanini usifuatilie (sijui wanavipata wapi) vifaa vya kuvaa masikioni vitakavyoweza kukuongeza uwezo wa kusikia, lakini pia kuna vyama vya walemavu wa kusikia na kuona nadhani, kwanini usiende kwenye hicho chama kwa sababu kuna watu wazima wanaweza kukushauri cha kufanya na jinsi ya kupata hicho kifaa cha kuvaa masikioni
Aisee...... so sadAsante kwa mawazo, kuhus vfaa na matibabu nilikwishafaya sikufanikiwa, vifaa havina msaada.
Vyama hivi ni kweli vipo, lakini ofisi ipo mkononi, pia kuwapata hao viongozi ni shida kwan wanaendesha shughuli zao binafsi ofisi huwa haigunguliwi.
Kwa ufupi hata NGos nimejaribu lakin mafanikio hamna, uwajibikaji wa wahusika hauridhishi, inakatisha tmaa sana
Sad sad sad. ...
Kumbe wewe ni kiziwi,sasa mbona unakuwaga mbishi
Ok yote uliyosema ni dhahiri ndio mahitaji yako ya msingi.
Kuna mahali uligusia elimu lkn inaonyesha hukumaliza,
Akitokea mtu wa kukurudishia chuo , vipi kwasasa unaweza kurudi shule?
It's life, and a matter of time. Kama hayajawahi kukukuta you will never understand.Hivi watu mnapata wapi muda wa kuandika maandishi yote haya