Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooohhhhhhpss pole sana mkuu daah!!!!!!
Wale wote walio kuwa wamekudhihaki na kuku kashifu humu baada ya kuanzisha uzi wa kuomba msaada
Sijui watajisikiaje baada ya kuusoma huu uzi ''Bila Shaka watafurahi maana mijitu katili huwa haina hata chembe chembe za huruma. ...Huyo aliye kuambia u-post thread yako. .Nature imlaani tena alaanike haswaa period
We kaka unaishi wapi? Nipe namba yako ya simu kama unahitaji msaada wa mawazo. Tatizo lako dogo sana na limekwisha mpaka hapo, wala hauhitaji kuuamia kiasi hicho. Kuna watu wana majanga makubwa kuliko wewe na bado hawajamlaumu Mungu.
Dunia haina usawa ndugu.Pole sana kwa unayopitia.Mara nyingi tunapopitia ugumu suluhisho huwa n gumu sana kupata japo utatuzi huenda ukawa upo around.
Vipi kuhusu vifaa vya kusaidia kusikia ulishajaribu?
Teh...mimi comment yenye paragraph mbili tu ni mtihani kuiandikaHivi watu mnapata wapi muda wa kuandika maandishi yote haya
Mkuu kwa experience yangu ndogo.Hearing aid hazina lolote hata mashuleni viziwi wenyewe mashuleni huwa hawapendi kuzitumia.labda Kama zipo ambazo zipo more advanced.
Tatizo la huyu bwana ni kwamba walichelewa kumu expose kwenye deaf culture, wangemuwahisha shule za viziwi mapema huyu Jamaa leo angekuwa Hana hayo mawazo kabisa.
The only cure is accepting the condition and considering it as normal.