Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Hakunitendea haki, nilisikitika sana
Ooohhhhhhpss pole sana mkuu daah!!!!!!

Wale wote walio kuwa wamekudhihaki na kuku kashifu humu baada ya kuanzisha uzi wa kuomba msaada

Sijui watajisikiaje baada ya kuusoma huu uzi ''Bila Shaka watafurahi maana mijitu katili huwa haina hata chembe chembe za huruma. ...Huyo aliye kuambia u-post thread yako. .Nature imlaani tena alaanike haswaa period
 
Naishi mtwara, ni kweli naamini hili, wapo wengi sana... NimekuPM, am looking forward to hear something helpfull from you. Be blessed
We kaka unaishi wapi? Nipe namba yako ya simu kama unahitaji msaada wa mawazo. Tatizo lako dogo sana na limekwisha mpaka hapo, wala hauhitaji kuuamia kiasi hicho. Kuna watu wana majanga makubwa kuliko wewe na bado hawajamlaumu Mungu.
 
Kwa ufupi matibabu hayakuwa na manufaa, vifaa ninavyo toka hospital tofauti.

So nimeridhika na hali hii baada ya kulielewa vizuri tatizo langu.
Dunia haina usawa ndugu.Pole sana kwa unayopitia.Mara nyingi tunapopitia ugumu suluhisho huwa n gumu sana kupata japo utatuzi huenda ukawa upo around.
Vipi kuhusu vifaa vya kusaidia kusikia ulishajaribu?
 
Mkuu binafsi matibabu nimeshahangaika nayo,..

Mwisho nikaamua kulielewa kwa undani tatizo langu na nikaridhika nalo na naishi nalo

Matibabu ya kisasa y sasa pia nayafahamu lakini i wish kubaki hata huu uwezo mdogo nilionao, kuliko kjaribu na nikaharibu hata hiki nilichonacho

Mwisho uwezo wangu ni mdogo sana kuanza kutafuta matibabu mengine.

Barikiwa sana.@Hashpower7113,
 
NATAMANI KUWA NA KAZI/BIASHARA ITAKAYONIWEKA HURU KWA KUJITEGEMEA NA KUISHI MAISHA YA KAWAIDA SIYO DHALILI KAMA HAYA YA SASA, NATAMANI SANA HILI

NATAMANI KUPATA MARAFIKI WANAONIHESHIMU NA KUNIJALI ILI NIWEZE KURUDISHA HALI YA KISAIKOLOJIA KUISHI MAISHA YA KAWAIDA

NAAMINI MAMHO HAYA YATANIREJESHEA FURAHA NILYOITAFUTA KWA MIAKA 20 BILA MAFANIKIO.

Vladimirovich Putin,
 
Upo sahihi hearing aid hazina msaada, viziwi huzipokea na kuihifadhi tu hatuzitumii
Mkuu kwa experience yangu ndogo.Hearing aid hazina lolote hata mashuleni viziwi wenyewe mashuleni huwa hawapendi kuzitumia.labda Kama zipo ambazo zipo more advanced.

Tatizo la huyu bwana ni kwamba walichelewa kumu expose kwenye deaf culture, wangemuwahisha shule za viziwi mapema huyu Jamaa leo angekuwa Hana hayo mawazo kabisa.

The only cure is accepting the condition and considering it as normal.
 
Back
Top Bottom