Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Pia nljaribu kifo kama mshikaji

Lakini baadae nljua nkifa ntawapa point kubwa sana hawa jamaa

Nkaamua kupambana , kuna siku nlipanda mpaka juu ghorofani ilkua mwanza hapo mzee ndo najiandaa kujirusha , aahah [emoji28]
Kilichotokea , huwa namshukuru Mungu
Vidonge nimemeza sana ani

Ila baadae nliona ni ujinga , mwanaume kupambana

Mi nkaamua nishike elimu basi hiyo.ndo ikawa hope yangu , kusaidia watu kadri nnavyoweza

Niishie hapa , other things must be disclosed for my identity !

Ila jamaa asikate tamaa , atakuwa happy kama dogo hapo chini
 
Baba Swalehe,
yaan had nimesismka...pole sana best...!uzuri ulijitambua mapema..azawaizi ungeji"mwangulangu" (huyu dogo alipojiua ulikuwepo ph)?
 
Mambo ya kawaida yashapita nshasamehe

Hata mama alisema nsamehe

Sasa kuhusu ph mi hata sijui , ni zamani sana nmesoma huko.hafu nlsoma muda mfupi sana kama miezi sita

Hafu huyo binti tulkua tunafahamiana nae

Ph nltoka nkaenda uboyzin , ingawa bado story za pale nlkua napata

Yaani nmetumiana nae barua almost kila week , iyunga na ph zipo karibu

Ph nmesoma before 2007
 
Ee Mungu kama ulivyonigusa nikapoteza kila kitu, niguse tena bwana,Roho yangu inahangaika.
Nimejaribu kuandika mara nyingi nimekosa, ila nimekuombea kuwa Mungu afungue njia kwenye kila hitaji la maisha yako, akupe kibali kila utapoenda na abariki kila utakachofanya.

Mungu bado ana kusudi jema na maisha yako, naamini kupitia wewe atatukuzwa. Keep trusting HIM.
 
Usihukumu, Kama unaweza kumsaidia wee msaidie tu, na Mungu atakulipa
 

Stay blessed Woman
 
miguu ya kuku, Sawasawa, Sasa humu ndan kila mmoja ana moyo wake, wapo wenye nia ya kusaidiana kabisa ila hawapendi kuchezewa akili kwakua humu michezo imekua mingi mpaka inakatisha tamaa watu ya kusaidiana.

Shauri nayokupa..
Ungetafuta namna sasa ya Kuhakikishia unafanya jamii hii ikutofautishe na watu walopita . Kisha tuanze kuchangiana kwa kidogo dogo, naamini kwako Mtaji wa biashara ndio muhimu na utakusaidia hata kurudi kuchukua cheti chako.

Mimi binafsi nitakuunga na Watu wawili muhimu sana ktk suala la Elimu naamin utasaidiwa lkn pia Nitaungana na wanaJF wengine kuchangia kidogo changu .


Tuendelee kuwasiliana... Nachelewa kukujibu sababu Ya mishe mishe mdogo wangu.

Fanya ivo kisha tuone hatua ipi tunafanya.
 
miguu ya kuku,
POLE SANA! Lakini kama hujatambua tatizo limeanzia katika ulimwengu wa roho ndiyo maana limekupa shida mda wote huu. Samahani kama nitakukwaza lakini naomba unijibu hili swali wewe ni dini gani?
 
Natambua sikuwa sahihi lakini Mungu kwangu anabaki kuwa wa kwanza, kumlaumu si kumkana bali ni kuonyesha imani yangu kwake, imagine nateseka sana na sijawahi kuacha kumuomba Mungu.

Wazazi siku zote ni wa pili baada ya Mungu, kueleza makosa yao sio kwa kuwa mtu unwachukia, hapana bali ni maada kwa wngine kjifunza, hakuna ambaye anglinielewa pasipo kusema ukweli.

Kuhusu kuacha kunisaidia kwa kosa hili, nadhani nastahili kulingana na hukumu yako, binafsi ningelifurahi na ningeliappreciate msaada wako.

Nahukuru kwakujali, kunieliimisha na kunikosoa pia.

 
Amina, barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…