Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Duh..had nimesisimka...kwann sasa alikubali mfunge ndoa..maskini..ss ndoa ukaahirisha au??huyo naye ana damu ya umalaya...duh...jamani...wengine tùkishapata mimba hata salam ya babako mzaz unatapika..ht salam huwez kumsalimia mwanaume mwingine yyt yule..uwiii..watu wana guts mbaya...pole sana mpendwa
Pia nljaribu kifo kama mshikaji

Lakini baadae nljua nkifa ntawapa point kubwa sana hawa jamaa

Nkaamua kupambana , kuna siku nlipanda mpaka juu ghorofani ilkua mwanza hapo mzee ndo najiandaa kujirusha , aahah [emoji28]
Kilichotokea , huwa namshukuru Mungu
Vidonge nimemeza sana ani

Ila baadae nliona ni ujinga , mwanaume kupambana

Mi nkaamua nishike elimu basi hiyo.ndo ikawa hope yangu , kusaidia watu kadri nnavyoweza

Niishie hapa , other things must be disclosed for my identity !

Ila jamaa asikate tamaa , atakuwa happy kama dogo hapo chini
tapatalk_1556806351687.jpeg
 
Baba Swalehe,
yaan had nimesismka...pole sana best...!uzuri ulijitambua mapema..azawaizi ungeji"mwangulangu" (huyu dogo alipojiua ulikuwepo ph)?
 
Duh..sema mm sipogo kwenye groups za ph..niliona utoto sana..pole sana ..jamani..hv ni kweli,?yaan akuambia nampenda mtu mwingine??hv kumbe huwa yapo??????ameolewa sasa??..umenihuzunisha maskini uliposema ulilia kufuani kwamama...nimetoka machoz kwakwel hyo sentensi...!..aisee...mwambie wifi asikufake jamani...mie katika kitu maishan mwangu nineshindwa ni kufake ..!nipo real mno had nakosea kbs saa zingine...!best umepata la kuhadithia uzeeni...so umeoa?
Mambo ya kawaida yashapita nshasamehe

Hata mama alisema nsamehe

Sasa kuhusu ph mi hata sijui , ni zamani sana nmesoma huko.hafu nlsoma muda mfupi sana kama miezi sita

Hafu huyo binti tulkua tunafahamiana nae

Ph nltoka nkaenda uboyzin , ingawa bado story za pale nlkua napata

Yaani nmetumiana nae barua almost kila week , iyunga na ph zipo karibu

Ph nmesoma before 2007
 
Ee Mungu kama ulivyonigusa nikapoteza kila kitu, niguse tena bwana,Roho yangu inahangaika.
Nimejaribu kuandika mara nyingi nimekosa, ila nimekuombea kuwa Mungu afungue njia kwenye kila hitaji la maisha yako, akupe kibali kila utapoenda na abariki kila utakachofanya.

Mungu bado ana kusudi jema na maisha yako, naamini kupitia wewe atatukuzwa. Keep trusting HIM.
 
Nilitamani kukuunganisha na MTU akusaidie lakini umenivunja moyo kumtamka Mungu kwa lugha utumiayo na kulaumu wazazi wako kiasi hiko
Sikh ukijua Mungu hakosei na wazazi in baraka yako utatubu na kuwaomba wazazi msamaha na ndio utakua mwanzo was mausha yakk kubadilika
Usihukumu, Kama unaweza kumsaidia wee msaidie tu, na Mungu atakulipa
 
Ni bora usiwe unaandika...jaman hb mtu aanze tu kuandika haya ..mtoa mada muda huu mie nachat naye wasap...ana hali mbaya sana ww unasema chai...jaman shukuruni kwa kupewa uhai na pumzi na Muumba wenu!huyu mtoto ana shida..namfaham karibia mwez wa 2 sasa...!jaribu kuheshimu hisia zake...!

Stay blessed Woman
 
miguu ya kuku, Sawasawa, Sasa humu ndan kila mmoja ana moyo wake, wapo wenye nia ya kusaidiana kabisa ila hawapendi kuchezewa akili kwakua humu michezo imekua mingi mpaka inakatisha tamaa watu ya kusaidiana.

Shauri nayokupa..
Ungetafuta namna sasa ya Kuhakikishia unafanya jamii hii ikutofautishe na watu walopita . Kisha tuanze kuchangiana kwa kidogo dogo, naamini kwako Mtaji wa biashara ndio muhimu na utakusaidia hata kurudi kuchukua cheti chako.

Mimi binafsi nitakuunga na Watu wawili muhimu sana ktk suala la Elimu naamin utasaidiwa lkn pia Nitaungana na wanaJF wengine kuchangia kidogo changu .


Tuendelee kuwasiliana... Nachelewa kukujibu sababu Ya mishe mishe mdogo wangu.

Fanya ivo kisha tuone hatua ipi tunafanya.
 
miguu ya kuku,
POLE SANA! Lakini kama hujatambua tatizo limeanzia katika ulimwengu wa roho ndiyo maana limekupa shida mda wote huu. Samahani kama nitakukwaza lakini naomba unijibu hili swali wewe ni dini gani?
 
Natambua sikuwa sahihi lakini Mungu kwangu anabaki kuwa wa kwanza, kumlaumu si kumkana bali ni kuonyesha imani yangu kwake, imagine nateseka sana na sijawahi kuacha kumuomba Mungu.

Wazazi siku zote ni wa pili baada ya Mungu, kueleza makosa yao sio kwa kuwa mtu unwachukia, hapana bali ni maada kwa wngine kjifunza, hakuna ambaye anglinielewa pasipo kusema ukweli.

Kuhusu kuacha kunisaidia kwa kosa hili, nadhani nastahili kulingana na hukumu yako, binafsi ningelifurahi na ningeliappreciate msaada wako.

Nahukuru kwakujali, kunieliimisha na kunikosoa pia.

Nilitamani kukuunganisha na MTU akusaidie lakini umenivunja moyo kumtamka Mungu kwa lugha utumiayo na kulaumu wazazi wako kiasi hiko
Sikh ukijua Mungu hakosei na wazazi in baraka yako utatubu na kuwaomba wazazi msamaha na ndio utakua mwanzo was mausha yakk kubadilika
 
Amina, barikiwa
Aisee[emoji24][emoji24][emoji24]
Nataka nikuambie Jambo,
Jaribu halikumpata mtu isipokuwa lile ambalo Ni la kawaida ya mwanadamu.
Ila Mungu Ni mwaminifu hatakuacha ujaribiwe kupita uwezo wako, ataufanya mlango uweze kustahimili,,hivyo vumilia utashinda .
 
Back
Top Bottom