Simulizi iliyoandikwa na mtu mwenye kipaji utaijua pale ambapo utakapogusa mstari wa kwanza huwezi kuiacha kuisoma hadi mwisho. Sina sababu ya kukuvisha kilemba cha ukoka. Nitasoma simulizi uliyoniambia kwamba uliiandika. Najiandaa kufurahia andiko lako
Unanifanya nimkumbuke Baba yangu ni kiziwi toka mwaka 1996 lakini Mola ni mzima natamani nimsaidie asikie tena maana aikuangaalie mdomoni muda mwingine anakuelewa
Hichi kipande kimenishtua mnoo.Kama ni kweli dah tumwachie MunguPadri anakuuliza “kwahiyo umekuja hapa Kuolewa” tena anakuuliza kwa dharau na dhihaka? Dah! Pole sana ndugu yangu
Hope this time kitafanyika kituAsante sana, kuna wakati mwingine nilishirikisha mod but hakuwa interested hakuwahi kjibu ujumbe zangu.
Asante sana barikiwa sana
Hakika!We jamaa umekata tamaa so kufanikiwa itakuwa ngumu boss.. Mi mwenzako nina degree ys USDM ya PSPA na ninauza viatu karume na goli ni la mwana wa darasa la saba lakini maisha yanaenda, namkaza mtoto mzuri wa kihaya, nakula vizuri, weekend elegance kama kawa. I dont give a gaadm kwani siku ikitaka kuja itakuja tu.
Mwezi...? Duh!Hahaha. .. Kuna wengine wanafanya but sio ile ya kuwa cronic kabisa ..1 wapo ni mimi ..naweza kukaa hata mwezi 1 but next month hapo lazima nitafute manzi ili kupunguza mlipuko wa hisia ' mwilini
Tuanzie hapa hapa kwenye kipaji cha uandishi! Kwanini Miguu ya kuku usiandike kitabu cha hadithi na simulizi za chombezo ukapiga hela? Naona kama kipaji ni utajiri, anyway kama tulivyozungumza pm,ntaangalia namna naweza kukusaidia kwa kadri ya urefu wa kamba yangu.Simulizi iliyoandikwa na mtu mwenye kipaji utaijua pale ambapo utakapogusa mstari wa kwanza huwezi kuiacha kuisoma hadi mwisho. Sina sababu ya kukuvisha kilemba cha ukoka. Nitasoma simulizi uliyoniambia kwamba uliiandika. Najiandaa kufurahia andiko lako
Mwezi...? Duh!
Nashauri wanaJF wote tumsaidie kwa kuchanga chochote ili mwenzetu apate japo mradi wa kuku wa kienyeji. Katoa namba yake ya simu.Kwa wanajamiiforums mlioko mtwara kutananeni na huyu mtu. Kama ni kweli tumuanzishie fund. 1 akakomboe cheti, akajifunze elimu maalum aweza kuwa mwalimu wa watu wenye ulemavu wa masikio. 2. Maxence take charge.
Mleta mada, ni kwamba bado hausikii vuzuri mpaka sasa?
Kama ndio, je unadhani leo hii ukipata uwezo wa kusikia vyema, utaweza kujikomboa kiuchumi?
Je, haujafanikiwa kupata vifaa vya kusaidia kusikia?
Stupidity at its peak...shame on youKumbe wewe ni kiziwi,sasa mbona unakuwaga mbishi