Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh.....every organ is important in our bodies..... I couldn't have imagined that ears could have brought u such a tragedy.....am sorry for you.
POLE SANA! Lakini kama hujatambua tatizo limeanzia katika ulimwengu wa roho ndiyo maana limekupa shida mda wote huu. Samahani kama nitakukwaza lakini naomba unijibu hili swali wewe ni dini gani?
Kwa wanajamiiforums mlioko mtwara kutananeni na huyu mtu. Kama ni kweli tumuanzishie fund. 1 akakomboe cheti, akajifunze elimu maalum aweza kuwa mwalimu wa watu wenye ulemavu wa masikio. 2. Maxence take charge.
Mkuu pole sana
Lakini kwa tatizo lako la kusikia sijui kwa jini uliamua kusoma ualimu na hyo CBA maana ni ngumu sana kufundisha au kuajiliwa
Hapo ungestukaga mapema ukasoma zako mambo ya ufundi(Veta) sahizi usingehangaika na ajira hizi
Kwa wanajamiiforums mlioko mtwara kutananeni na huyu mtu. Kama ni kweli tumuanzishie fund. 1 akakomboe cheti, akajifunze elimu maalum aweza kuwa mwalimu wa watu wenye ulemavu wa masikio. 2. Maxence take charge.
Kwa sasa hana uwezo, he did mistake, then umri wangu kumlilia baba asie na hata uwezo wa kununua malafin ya 3000 nitakuwa sahihi eba?
usisikitike sana bro, me mwenzio nimepoteza mama kitambo kidogo, mzee nimetoka kumzika mwezi wa 4 hapo. hakuna ndugu wa kunisaidia, nimeshaandika sana tu kama wewe hivi but ndo hvyo no body care. heri yako umemaliza certificate, me niliishia semester ya kwanza. you can imagine how miserable life i live. so usihuzunike huna viatu bro
Very well narrated..unakipaji zaidi ya Musiba (alitafsiri Nick Carter's) na Hammie Rajab.