Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

Ndama dume, Hata Mimi kumbe aliwahi nipm..
Na vile huwa sijibu mara kwa Mara ,alinipm nikamjibu baada ya mwezi kupita. Alikuja kwa jina la miguu ya kuku ..nikashindwa kumtambua mapema masikini Mimi[emoji24]

Pengine ningeongea naye haya yasingetokea..sikupata nafasi ya mumsikiliza. Baada ya kumjibu message yake naona hakunijibu Tena.

Ila Mungu wetu ni wa rehema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh aiseeee nimesoma huu uzi japo nahisi uzi wa mwanzo sikuuona ila yoyote yayote Asante Mungu kwaneema hii uliyonijaalia naninajua ulishaniokoa namengi mnoooo mpaka kufika hatua kama yahuyu mwenzetu ila nimegundua Changamoto nilizokuwa nikizipitia hazifikii hata theluthi zahuyu mwenzangu Changamoto zake aiseee sio mchezo.

Mungu nijaalie moyo wakushukuru wahata pumzi hii uliyonijaalia. Nipe subira namatumaini mpaka pale utakapoamua kuitwaa roho yangu.

Yote yayote mlaze mahali pema marehemu na umsamehe kwakitendo alichokifanya nachangamoto alizopitia katika uhai wake vitumike kumsafisha ili auone ufalme wako. Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen love. Naamini ananibariki tu!..leo moyo wangu unauma!...huyu dogo had saa8usk anakutxt..anakuambia mama sijala toka jana natetemeka ...jamani !...nashukuru sijawah muignore hata siku moja!yaani ningekuwa nimewaza mbali zaidi huyu ningemshawishi hubby tuishi naye tu mradi kuishi naye! Kilikua kilio chake daily mama nisaidie nitoke hapa nyumbani😭😭😭😭
Dah.... hongera na pole sana mama.
 
25 yrs unakata tamaa? Daahhhh kijana boyaa sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inasemekana ameshatangulia mbele za haki huyo unayemjibu hivyo.

Usikivu hafifu (ukiziwi) ndiyo root cause ya future yake kuharibika!

Usimuone yeye boya kisa wewe upo mzima wa afya. Ukiwa na afya kamili katika mwili wako wote ni kumshukuru tu Mungu.

For his case, issue ni DISABILITY ya masikio, na wala sio umri.

Dunia mapito. Dunia imejaa mitihani.

-Kaveli-
 
So touching!!

Jamaa alipambana to the fullest.

Sie wenyewe pamoja na afya kamili, at some times in life tunapitia life hardships mpaka unafikia kwenye 'zero tolerance' level. Sembuse kijana kiziwi?!! Tena from poor family!

Dunia mitihani sana akyanani!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom