Heloo jf
Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐
Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔
Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤
Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯
Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵
Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi ya MADAGASCAR hasa kilichotokea katika utawala wake!🤔❤️🔥
Nikajikuta nakuja na taswira kichwani...inikilinganisha nchi yangu katika mtazamo wa v familia ya baba mama na watoto,
mtoto amefikia hatua ya kutokuridhishwa na mwongozo wa baba na mama..kwani kuna ulazima wa kuongesha ubabe na kuvimba...
naombe ushauri wenu nikaishauri nchi yangu Tanzania maana bado naipenda sana😍!