Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sasa km mambo yako sawa unajiuliza nini?? Uoga huo na unafikiMimi sishangai aisee kwa sababu mambo yako poa aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa km mambo yako sawa unajiuliza nini?? Uoga huo na unafikiMimi sishangai aisee kwa sababu mambo yako poa aisee
Amelala yoooooWewe hujalala? 🐼
Bure kabisa
Sipendi mambo y siasa MimiSasa km mambo yako sawa unajiuliza nini?? Uoga huo na unafiki
Wewe kunguru muoga, siasa ndio maisha yetu. Hii ya kusema sipendi siasa ni UNAFIKISipendi mambo y siasa Mimi
Siasa ilikuwa napenda zamani lakini Sasa hivi sipendi kabisa lakini kupiga kura ni lazimaWewe kunguru muoga, siasa ndio maisha yetu. Hii ya kusema sipendi siasa ni UNAFIKI
Bora tungekuwa tuna rais mwenye uwezo mkubwa na IQ za kutosha. CCM imekuwa ikituletea viongozi mabomuKatiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?
Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?
Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?
Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
💯Bora tungekuwa tuna rais mwenye uwezo mkubwa na IQ za kutosha. CCM imekuwa ikitolewa viongozi mabomu
Umesahau eti wanasema tumshukuru Samia kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kila kitu Samia.Katiba mpya!
Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?
Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-
1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.
Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?
Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?
Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?
Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Wewe tena tulia ile siku nilikuombea msamaha alikuwa anaenda kukufanya urudi tena hospital, ule ni mtambo kwenye kubishana kwa fact huuwezi..!!😁😁😁
Eti Mi Kunguru muoga hicho Kijana chako Country kilinivaa kwenye Uzi wangu wa Compliments kwa Leejay49 uliona nilivyokuwa Nampa makavu bila kuhofia Yeye ni nani?
Lamomy
Mwepesi tu kama karatasi na hana hata hojaWewe tena tulia ile siku nilikuombea msamaha alikuwa anaenda kukufanya urudi tena hospital, ule ni mtambo kwenye kubishana kwa fact huuwezi..!!
Niliona umeanza kupoteza direction ukataka kulia, nimeokoa jahazi umeanza tena ng’eng’e 🤣🤣🤣🤣
Ngoja ujae kwenye 18 zake nakuacha akusuuze.!!
Subiri aingie aone mi nakaa pembeni sikutetei 😂😂😂😂Mwepesi tu kama karatasi na hana hata hoja
Wallah naztafuta BAN na Yeye ndio atakayeni sababishia nipo namsubiriSubiri aingie aone mi nakaa pembeni sikutetei 😂😂😂😂
Manyanza Manyanza ManyanzaWallah nazitafuta BAN na Yeye ndio atayeni sababushia nipo namsubiri
Kwa katiba iliyopo ni kwamba sio muwezeshaji tu bali ndiye mwenye uwezo kama AKITAKA Katiba ipatikane itapatikana !!Yeye ndio muwezeshaji
Na huo ndio ukweli wenyewe !Kwa sababu anashikilia dola,
Mabomu, bunduki, magari ya kuwasha na magereza anashikilia yeye.
Huu Uzi wa Kaka NyaniNgabu unauchafua au nianzishe Uzi wa kumzingua Country? 😂😂😂Manyanza Manyanza Manyanza
Nimekuita mara tatu usije kusema sijakwambia!! Yule mtoto wa chugga (wadudu) haogopi kitu!! Hizo bangi unazojifunzia ss hivi mwenzio alishazifuta kitambo hiko daraja 2..!! We jizime data 🤣🤣🤣