Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Nayo ni hisani ya Rais Samia?

Katiba mpya ni 'dhima mpya ya kifikra' (general mentality of the people). Tatizo lilipo, ni kwamba sisi Watanzania tulio wengi tunadhani katiba mpya ni kitabu kipya cha sheria, a new printed book composed of set of rules. Ndio maana hatujui nani anatakiwa kukileta hicho kitabu, safari ni ndefu mnoo.
 
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Bora tungekuwa tuna rais mwenye uwezo mkubwa na IQ za kutosha. CCM imekuwa ikituletea viongozi mabomu
 
Katiba mpya!

Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]?

Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:-

1. Samia atuletee katiba mpya.
2. Samia atupatie katiba mpya.

Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana uamuzi wa mwisho kuhusu hiyo katiba mpya?

Ni hisani yake yeye huyo Samia, ambaye ni mtu mmoja tu, kutuletea Watanzania zaidi ya milioni 60, hiyo katiba mpya?

Kwa hiyo Samia akikataa kuleta hiyo katiba mpya, ndo basi tena?

Sisi Watanzania kuna kitu hakiko sawa kwenye psyche yetu.
Umesahau eti wanasema tumshukuru Samia kwa kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Kila kitu Samia.
 
Hakuna kilichobadilika practically juu ya msimamo wa awamu ya Magufuli na awamu ya Samia juu ya katiba mpya.Kinachonishangaza mimi ni mtu kuona msimamo wa katiba mpya awamu ya Magufuli ulikuwa sawa na huu wa Samia juu ya suala hilohilo,na ambao kimsingi ni msimamo uleule,eti haupo sawa!

Simkubali huyu wa sasa,na sikumkubali yule aliyepita pia,ila namchukia zaidi mtu mnafiki ambaye vita yake inaangalia nani ni muhusika,na sio kipi kinahusika.....Inasikitisha sana
 
😁😁😁
Eti Mi Kunguru muoga hicho Kijana chako Country kilinivaa kwenye Uzi wangu wa Compliments kwa Leejay49 uliona nilivyokuwa Nampa makavu bila kuhofia Yeye ni nani?
Lamomy
Wewe tena tulia ile siku nilikuombea msamaha alikuwa anaenda kukufanya urudi tena hospital, ule ni mtambo kwenye kubishana kwa fact huuwezi..!!
Niliona umeanza kupoteza direction ukataka kulia, nimeokoa jahazi umeanza tena ng’eng’e 🤣🤣🤣🤣
Ngoja ujae kwenye 18 zake nakuacha akusuuze.!!
 
Mwepesi tu kama karatasi na hana hata hoja
 
Wallah nazitafuta BAN na Yeye ndio atayeni sababushia nipo namsubiri
Manyanza Manyanza Manyanza
Nimekuita mara tatu usije kusema sijakwambia!! Yule mtoto wa chugga (wadudu) haogopi kitu!! Hizo bangi unazojifunzia ss hivi mwenzio alishazivuta kitambo huko daraja 2..!! We jizime data 🤣🤣🤣
 
Manyanza Manyanza Manyanza
Nimekuita mara tatu usije kusema sijakwambia!! Yule mtoto wa chugga (wadudu) haogopi kitu!! Hizo bangi unazojifunzia ss hivi mwenzio alishazifuta kitambo hiko daraja 2..!! We jizime data 🤣🤣🤣
Huu Uzi wa Kaka NyaniNgabu unauchafua au nianzishe Uzi wa kumzingua Country? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom