Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Kapime sukari na presha kisha angalia kama.hauna lehemu kwenye damu.

Endapo utakutwa na mojawapo au vyote vya hapo juu, just fuata ushauri wa wataalam

Kama hautakutwa na any of those, njoo inbobo nikupe tips za kuhuisha collagen zako.

Ushauri ni bure
 
Ujana wako ulimkumbuka Mungu..?

Mhubiri 12:1
Mkumbuke Muumba siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya, Wala hijaikaribia miaka utakaposema Mimi sina furaha katika hayo...

Zaburi 103:5
Aushibisha mema uzee wako, ujana wako ukarejezwa kama tai...
 
Sijui tatizo nini naona vijana wadogo siku hizi wana mvi hatari kichwani na kidevuni.

Mimi nipo kwenye 30s lakini watu wengi nikiwaambia umri wangu halisi wanasema haiwezekani maana naonekana kama 20s.

Nafikiri stress za maisha nazo huchangia kiasi fulani vijana kuanza kuonekana kuzeeka hali ya kuwa kiumri bado ni wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 30 umeanza mvi kidevuni? Nearly 60 mvi kwa mbaaaali. Mtindo wa Maisha utaua wengi
 
Tatizo lenu mnafanya ngono na wanawake wabaya. Ndo maana mnazeeka mapema.

Zeekeni kivyenuvyenu huko.
 
Ukifikisha miaka 50 utakua unaitwa mamvi kama Lowasa
 


Tafuta hela.
 
tafuta pesa

punguza ngono,

punguza mawazo,

kunywa maji mengi,

pata muda mrefu wakupumzika (kulala),

oga maji ya moto ata kama ni jua kali.

Kula mlo kamili siyo kula kula.

Asante.

Akipata pesa mengine yatakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…