Hao ni wachache tu.
Kama unaamini hivyo basi tuache ramli chonganishi.Matamko siyo kura za wajumbe elewa hilo kwanza. Maria Space and others siyo sehemu ya kura tarehe 21/01/2025
Sasa nkileta mimi humu jf si itajaa video za Team TAL tuu?
Mbeya mwenyekiti hana wpiga kura,dodoma mwenyekiti hana wapiga kura,dodoma mwenyekiti hana wapiga kura,Tabora wanegawana,temeke wamegawana katibu ypo TAL,pwani wamegawana....tuachepropaganda.
Kwani Mbowe atapigiwa kura na akina nani?Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Waende na matusi yao kokote waendako, au waanzishe chama chao wawe wanatukana asubuhi mpaka jioni tuone watashinda vipi hizo chaguzi.Inaonekana timu ya Lissu kama vile wanajua watashindwa, kwa nini zinaanza hoja za kuhamia NCCR Mageuzi, CHAUMMA , ACT n.k mara chama kipya
Kwani wewe ni nani mpaka uzione?Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Lema ana mdanganya na kumpotosha Lisu kwamba eti kua kwa press conference nyingi ndio kushinda uenyekiti wa chadema taifa, wajumbe sio muhimuKura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
Hayo ndio majizi ya mwamba yanataka kuziiba kura za lissuMzee kura ni Siri boss