Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.
Yani ukitakaa Uvunjwee miguuu jaribuu[emoji1787]
 
Wazurulaji ndio mnaenda airport watu wa maana wote wako bize na msiba wa kitaifa
Maumiv yakizidi pata ushauri wa daktari, niko Gongo la mboto hapa naanza kusogea sogea!
 
Maelfu ya watu ? Itapendeza sana
 
Au umeambiwa uende ukamamlize
 
Unamuuwa mwenzako sababu ya tumbo lako then Mungu anamponya sijui unauweka wapi uso wako.
Jifunzeni kanuni za dunia mjue kuhusu dunia, dunia imejengwa kwenye mifumo isiyochunguzika kwa akili za binadamu.
 
Wazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULI

Siyo Watanzania wote bali ni wewe unajuwa hivyo.

USIWASEMEE WATZ BILA KUWASHIRIKISHA.
 
Umbea tu unakusumbua. Focus kwenye hizo shughuli zako. Ya ngoswe mwachie ngoswe.
 
Kikwete alisema, "kupiga hoja kwa rungu". Hoja hujibiwa kwa hoja, siyo kwa rungu. Ndio maana wanaomba waombewe asubuhi na jioni.
Unamuuwa mwenzako sababu ya tumbo lako then Mungu anamponya sijui unauweka wapi uso wako.
Jifunzeni kanuni za dunia mjue kuhusu dunia, dunia imejengwa kwenye mifumo isiyochunguzika kwa akili za binadamu.
 
Chama kinaitwa cha makamanda ila wakipigwa mkwara hata na green guard wanakimbilia kwa wazungu kulia unahisi hapo kuna wakusumbuana na FFU! Ndo maana fujo zote wanafanyia mtandaoni tu
 
Kikwete alisema, "kupiga hoja kwa rungu". Hoja hujiwa kwa hoja, siyo kwa rungu. Ndio maana wanaomba waombewe asubuhi na jioni.
Kote kote wanataka kwa Mungu na kwa shetani pia.Viongozi wa dini ndo wa kulaumiwa
 
Kikwete alisema, "kupiga hoja kwa rungu". Hoja hujiwa kwa hoja, siyo kwa rungu. Ndio maana wanaomba waombewe asubuhi na jioni.
Ccm walipopokea ushauri wa Mwalimu kuhusu kuacha kuwatuma polisi kumpiga mabomu Mrema na ndipo umaarufu wa Mrema ukafa na kufa kisiasa Leo anaishi kwa fadhila ya kuunga juhudi.
 
Ndugu Tupo njiani kuja uwanjani. Nilishafika tangu Jana toka Songea
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…