Ndio tabia ya waogaKila mada mtaandika mwaka huu.
Tatizo lenu mnatumia hisia badala ya uhalisia.
Kwani kumpokea ndugu yako ni kosa?
Ni mara ngapi ccm wanawapokea watu wao na hatuoni policcm wakiwasumbua?
Hawakupenda patokee vurugu lakini sikawaida yao policcm wasiwasumbue na kuwapiga chadema.
Kwamba risasi ya bastora na bunduki za polisi SMG inafanana kiasi polisi anashindwa kujua risasi iliyo muua Akwilina ni ya bastora au ya SMG,kijana tafuta kazi ule kwa halali.Mkuu kama ni hivyo kwa nn usiwaruhusu wafanye yao bila polisi
Mkuu magari ya bure kwenda lupaso yalikuwapo.Mkuu binafsi nilikuwapo msibani jana na hata JKNIA juzi kama mtanzania Mzalendo. Utakuwa na nini cha kuwaambia watanzania wewe?
Nimeshindwa kwenda Lupaso lakini ningewakilisha kule pia. Kwa dhati kabisa.
Rais alipolia, hakulia peke yake. Tumelia wengi. Achilia mbali wenye machozi yenye kuingia ndani.
Waliokuja kumuaga mzee Mkapa ambaye ni Rais wetu, mtanzania mwenzetu na binadamu aliyetutangulia wanastahili shukurani na faraja toka kwa walio na hekima lakini.
Kurejea kwa salama kwa Lissu si mchezo wa paka na panya. Ni furaha iliyoje aliyekufa akifufuka?
Tuwatambue kwa majina yao wote wenye nia ya kutugawa, kwa hakika tuwanyime nafasi hiyo.
Hata mzee hajazikwa mmeanza? Watu wa namna gani nyie?
Au yale yale ya: "tunatoana roho, Yarabi. Kwa mali alizoacha baba."
Tuwakilishane Lupaso.
Apumzike kwa amani Muhidini Mwalimu.
Apumzike kwa amani mzee wetu Mkapa.
Mkuu magari ya bure kwenda lupaso yalikuwapo.
James Bond 007 katoa makala!MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:
#Nanukuu : "Sina amani kwa tabia nzuri waliyoonyesha Jeshi la Polisi jana wkt wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu.Nina paswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari,kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi - Godbless Lema.
MYTAKE :
Ukisikiliza Maelezo ya Hovyo toka kwa Lema na Kwa akili za Ufipa Street utaona kabisa walitamani Wadundwe, Watawanywe kuliko kuachwa...Hawa Walijiandaa na Walishajua kuwa Askari Watafika na kuwatawanya kama ambavyo Barua ya Polisi ilivyoainisha!..So kutofanyika kwa jambo hilo kumeharibu kabisa Mipango wa Maharamia hao,...Hii haiihitaji Betting, kifupi Mpango ulikuwa hivi:
Polisi Wangeingia Kati na kutawanya Mkusanyiko wa Chadema pale Airport basi kama kawaida Chademaa ingetumia Special Unit ya vijana wake maalumu ambao wangejichanganya katikati ya Mkusanyiko wa Nyumbu na kufyatua risasi zinazoweza kudhuru raia na kuzua GUMZO la violence na Msala kuangukia kwa jeshi la Polisi..."Hii inaitwa "Nyumbu kudhuru Nyumbu"..Special unit hii ya vijana hawa inasemekana ndiyo miaka ya Nyuma ilitumika kupiga mpaka Mabomu ya Moto katikati ya Mikusanyiko ya Chadema pale Arusha ikiwajibu polisi waliorusha "Mabomu ya Machozi"...Raia Wakafa! Jumba Bovu kwa Polisi.
Siasa za Kilofa Hasa!... Dola nyingi Afrika kwa kutokushtuka Mapema zimenasa katika mtego huu, polisi wengi wamenasa ktk Mtego huu na kujikuta too late ktk kujinasua...na inasemekana vikundi hivi Maalumu hupokea Mafunzo na Posho kwa ajili tu ya kuleta taharuki ndani ya Mikusanyiko mbali mabali haramu, Vikundi hivyo vipo tauari hata kama ni kwa kumwaga damu ya waandamanaji na finally Nchi husika kuingia katika Machafuko kama Tunisia.
Nikumbushe tu kwamba Tarehe 19 september 2018 Taifa likiwa ktk uchaguzi Mdogo Jeshi Polisi lilimkamata Wakala wa Chadema ndani ya Chumba cha Kura akiwa na Barua Feki, Furushi la Nyuki na Bastola yenye Risasi 15 .
Probably Malengo ya Wakala yule yalikuwa kuanzisha Vurugu eneo la uchaguzi na kwenye Mkusanyiko wa watu kisha amwage Nyuki, Watu wakiwa wanakimbia hovyo hovyo na Askari kujitokeza kutuliza Ghasia ndipo Wakala huyo angetumia Bastola hiyo kutandika Risasi Raia mmoja halafu Kesi inakuwa ya Polisi, Lawama kwa Serikali, reporters ni DW, BBC na VOA....Yale Yale ya Kinondoni kwa Akwilina na Mabomu ya Arusha....Hawa ni watu wa Matukio na nina Hakika Kauli ya Lema inapaswa kufikiriwa zaidi na kufanyiwa kazi zaidi, ni kauli iliyotangulizwa tu huku Matukio yakiandaliwa!.
Kifupi huna akili...MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:

Unamzuia mwenzio kuandika maelezo marefu halafu na wewe unatujazia maelezo marefu!Umeandika maelezo marefu kabisa lakini ungeweza kuyafupisha na kueleza ya kuwa "Busara imetumika na amani imetawala'.Kabla ya ujio wa Lissu Polisi ambao kila wakati wandai hawatumia taarifa za mitandao katika shughuli zao walitumia mitandao hiyo na kutoa onyo kali.
Onyo kali la Polisi katika kipindi hiki cha awamu ya tano si onyo la kulichukulia kimzaha (Happy triggers Police) lakini tumeshuhudia waliokuwa na ujasiri wamempokea mpendwa wao kama simba walivyopokea kombe lao.
Kwa hivyo kwa Lema na kwa Chadema waliyopitia ni lazima wajiulize mara mbili na hii inaitwa "too sweet to swallow"