NBC Bank Mdhamini mkuu Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022

NBC Bank Mdhamini mkuu Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022

Tshs bilioni mbili na nusu (Tsh.2.5bill) kwa muda wa miaka mitatu

😁😁

Huu mpunga mbona mdogo hivyo, hiyo si ni kama bajeti ya timu kongwe ya miaka 2
 
Ngoja tuone kwani Kabula ya Yanga NBC haikufanya kazi? Na kumbuka si Yanga tu NBC ipo hata bila Yanga sababu kuna simba, Geita, Azam, Mbeya kwanza na timu nyingi.
NBC Watakuja wenyewe, tutachange tu rangi, Yanga ni kubwa kuliko NBC....hao wengine watakubali ila Yanga haiwezi kuvaa red.....sahau
 
Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.

Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa Shilingi za kitanzania Billion mbili na unusu(Tsh.2.5bill)
NBC Bank itadhamini ligi kwa muda wa miaka 3

Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?

Bil. 2.5 kwa kila msimu au misimu yote mitatu??

Kama Fred Viunjabei mkataba wake Jersey na simba ni 2 Bil basi tusije kuambiwa kuwa kumbe hata VB akijikaza anaweza kudhamini ligi yetu ni 😂😂
 
😁😁

Huu mpunga mbona mdogo hivyo, hiyo si ni kama bajeti ya timu kongwe ya miaka 2
Kila mwaka atakuwa anaweka 2.5b kwa muda wa miaka mitatu hapo bila VAT
 
NBC Watakuja wenyewe, tutachange tu rangi, Yanga ni kubwa kuliko NBC....hao wengine watakubali ila Yanga haiwezi kuvaa red.....sahau
Hata hivyo waahakubali wao kubadili rangi.
Hivyo twiga atakuwa na rangi nyeusi na mlima Kilimanjaro utakuwa na rangi ya kijani
 
Bil. 2.5 kwa kila msimu au misimu yote mitatu??

Kama Fred Viunjabei mkataba wake Jersey na simba ni 2 Bil basi tusije kuambiwa kuwa kumbe hata VB akijikaza anaweza kudhamini ligi yetu ni 😂😂
Kwa kila mwaka wataweka 2.5b kwa muda wa miaka mitatu
 
sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Kwenye kudhamini ligi kunahitaji umshawishi nani tena!! Ikiwa kuna maslahi kwenye udhamini kwa pande zote huo ushawishi wa nini,
 
Inawezekana moja ya vigezo vya kushinda ni kukubali matakwa ya club kongwe kuhusu rangi zao!!!
 
Inawezekana moja ya vigezo vya kushinda ni kukubali matakwa ya club kongwe kuhusu rangi zao!!!
NBC wapo kibiashara zaidi ndio maana wameamua kukubali tu.
 
Itasonga kuelekea wapi??

Mnapenda kujipa umuhimu usio na sababu.

Hayo mambo tunayafanya hapa kwetu ki local local tu, ila international hayapo.

Yaani kwa mfano SIMBA WANGEGOMEA KUWEKA LOGO CAF KISA INA GREEN NA YELLOW.
Kazi kweli kweli

Edited by Kasomi
 
Itasonga kuelekea wapi??

Mnapenda kujipa umuhimu usio na sababu.

Hayo mambo tunayafanya hapa kwetu ki local local tu, ila international hayapo.

Yaani kwa mfano SIMBA WANGEGOMEA KUWEKA LOGO CAF KISA INA GREEN NA YELLOW.
Shida yako unadhani traditonal clubs ni Tanzania zinazobaki na colours zake na unakariri ivyo.........
 
Back
Top Bottom