Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Tshs bilioni mbili na nusu (Tsh.2.5bill) kwa muda wa miaka mitatu
😁😁
Huu mpunga mbona mdogo hivyo, hiyo si ni kama bajeti ya timu kongwe ya miaka 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tshs bilioni mbili na nusu (Tsh.2.5bill) kwa muda wa miaka mitatu
NBC Watakuja wenyewe, tutachange tu rangi, Yanga ni kubwa kuliko NBC....hao wengine watakubali ila Yanga haiwezi kuvaa red.....sahauNgoja tuone kwani Kabula ya Yanga NBC haikufanya kazi? Na kumbuka si Yanga tu NBC ipo hata bila Yanga sababu kuna simba, Geita, Azam, Mbeya kwanza na timu nyingi.
Daah ngoja niendeHuenda hujapata notification lakini kuna vitu tayari.
NBC hawana ujanja maana wanaihitaji zaidi Yanga kuliko Yanga kuihitaji NBC
Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa Shilingi za kitanzania Billion mbili na unusu(Tsh.2.5bill)
NBC Bank itadhamini ligi kwa muda wa miaka 3
Je, walio kataa kuvaa jezi zenye Nembo nyekundu watafanya nini?
Hata hivyo waahakubali wao kubadili rangi.NBC Watakuja wenyewe, tutachange tu rangi, Yanga ni kubwa kuliko NBC....hao wengine watakubali ila Yanga haiwezi kuvaa red.....sahau
Kwa kila mwaka wataweka 2.5b kwa muda wa miaka mitatuBil. 2.5 kwa kila msimu au misimu yote mitatu??
Kama Fred Viunjabei mkataba wake Jersey na simba ni 2 Bil basi tusije kuambiwa kuwa kumbe hata VB akijikaza anaweza kudhamini ligi yetu ni 😂😂
Bila shaka umeshajua muhitaji ni nani zaidi hapoHata hivyo waahakubali wao kubadili rangi.
Hivyo twiga atakuwa na rangi nyeusi na mlima Kilimanjaro utakuwa na rangi ya kijani
Kwenye kudhamini ligi kunahitaji umshawishi nani tena!! Ikiwa kuna maslahi kwenye udhamini kwa pande zote huo ushawishi wa nini,sijasema hana vigezo kwa sababu hata hivo sjui vigezo vyao my point nilitegemea bank zenye ushawishi NBC haina hata matawi meng compare na others Banks
Ndiyo maana nikakwambia NBC anamuhitaji zaidi YangaLazima NBC akubali kimasilahi zaidi maana yupo kibiashara.
Kazi kweli kweliItasonga kuelekea wapi??
Mnapenda kujipa umuhimu usio na sababu.
Hayo mambo tunayafanya hapa kwetu ki local local tu, ila international hayapo.
Yaani kwa mfano SIMBA WANGEGOMEA KUWEKA LOGO CAF KISA INA GREEN NA YELLOW.
Shida yako unadhani traditonal clubs ni Tanzania zinazobaki na colours zake na unakariri ivyo.........Itasonga kuelekea wapi??
Mnapenda kujipa umuhimu usio na sababu.
Hayo mambo tunayafanya hapa kwetu ki local local tu, ila international hayapo.
Yaani kwa mfano SIMBA WANGEGOMEA KUWEKA LOGO CAF KISA INA GREEN NA YELLOW.