Unabishanaje na akili fupi?Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?
Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?
Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?
Mkuu, watu wanajitoa ufahamu, eti anahoji wakati bank imeanza miaka ya 1967, ukihesabu ni miaka 54, Pengine mtoa mada alikuwa hajazaliwa! leo anaona ni jambo jipya sana.Vitu vingine mkuu tunajiabisha na pia tunaabishana na kuonekana Yanga wote hatunazo vichwani, Yaani unafungua uzi kuongelea rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya NMB wakati kila mtu, taasisi, kampuni, shirika lina design logo kulingana anavyotaka yeye na kwa rangi anayoiona mwenyewe inafaa.
Ulikuwa wapi siku zote kuhoji rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya benki ya NBC? maana benki ina zaidi ya miaka 10 tokea ianzishwe
Ukweli unajua wewe!Fikra zako zimeishia hapo? Hainihusu kwa vipi. We una hati milki ya hii timu? Tukiambiana ukweli unatuona hatuhusiki. Mambo mengine ya kishamba.
Kwani Yanga na NBC kipi cha kwanza kuwa established?Mkuu, watu wanajitoa ufahamu, eti anahoji wakati bank imeanza miaka ya 1967, ukihesabu ni miaka 54, Pengine mtoa mada alikuwa hajazaliwa! leo anaona ni jambo jipya sana.
Ngoja nimsaidie mtoa mada kusoma kidogo historia ya NBC.
The Bank traces its origins to 1967 when the Tanzanian Government nationalised all financial institutions, including banks. In 1991, the banking industry was amended and six years later, in 1997, the institution then known as National Bank of Commerce, was split into three separate entities:
In 2000, South African financial services group Absa Group Limited acquired a majority stake in NBC.
- NBC Holding Corporation
- National Microfinance Bank (NMB)
- NBC (1997) Limited
The Government of Tanzania retained a 30% shareholding and the International Finance Corporation (IFC), a member of the World Bank Group, took up 15% shareholding in the bank. The new entity became known as NBC Limited.
Na hiyo million 156 kwa mwaka, maana yake kwa mwezi ni takribani milioni 10Duh! Leo tuna kiburi mpaka hatua hii. Kweli ukitaka kujua tambia ya mtu msubiri akipata pesa [emoji119][emoji119]
Kuna pesa moja ya noti hapa Tz,Ni maarufu Kama m_simba_zi,sijawahi kusikia na Wala haitatokea, mashabiki wa timu pendwa ya wananchi KuGoMa kuitumia na kuweka kwenye mapochi yaoooooo vyura [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.
View attachment 1965727
Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
View attachment 1965730
Wana Yanga hamkosi visababuTwiga halisi huwa si mwekundu. Huo uekundu ni feki. Weka rangi ya twiga mwenyewe
Logo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?Twiga halisi huwa si mwekundu. Huo uekundu ni feki. Weka rangi ya twiga mwenyewe
Wewe ni nani mpaka utake kuwabadilishia logo yao nbcTwiga halisi huwa si mwekundu. Huo uekundu ni feki. Weka rangi ya twiga mwenyewe
Logo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?
Twiga Mwekundu labda yupo Burigi ChatoAkikujibu naomba unitag tafadhali.
Kumbuka hiyo ni Nembo ya kibiashara imesajiliwa Twiga halisi yupo Serengeti sio NBC tanzaniaTwiga halisi huwa si mwekundu. Huo uekundu ni feki. Weka rangi ya twiga mwenyewe
Kuna watu mna maswali konki aisee πππLogo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?
Naona umeweke jiwe baada ya yeye kuweka ugoko.Logo ya timu yenu ina watu wenye rangi ya njano usoni, hiyo ni rangi halisi ya mtu?
Na moto wa kijani ajibuKwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?
Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?
Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?