NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?

Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
2019112508090879.jpg

Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?

Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?
Unabishanaje na akili fupi?
 
Rangi ya NBC wakati unaona kapakwa twiga kwa nn wasimwache na rangi yake wao wapake hiyo nembo nyingine
Unawapangia NBC rangi za logo? Kama unaweza, waulize GSM ni kwa nini walichagua rangi nyekundu na nyeupe na nyeusi, ambazo zote anatumia mnyama

1633539270627.png

Huyo twiga wa kibiashara ukitaka twiga mnyama nenda kupori
 
Vitu vingine mkuu tunajiabisha na pia tunaabishana na kuonekana Yanga wote hatunazo vichwani, Yaani unafungua uzi kuongelea rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya NMB wakati kila mtu, taasisi, kampuni, shirika lina design logo kulingana anavyotaka yeye na kwa rangi anayoiona mwenyewe inafaa.

Ulikuwa wapi siku zote kuhoji rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya benki ya NBC? maana benki ina zaidi ya miaka 10 tokea ianzishwe
Mkuu, watu wanajitoa ufahamu, eti anahoji wakati bank imeanza miaka ya 1967, ukihesabu ni miaka 54, Pengine mtoa mada alikuwa hajazaliwa! leo anaona ni jambo jipya sana.

Ngoja nimsaidie mtoa mada kusoma kidogo historia ya NBC.

The Bank traces its origins to 1967 when the Tanzanian Government nationalised all financial institutions, including banks. In 1991, the banking industry was amended and six years later, in 1997, the institution then known as National Bank of Commerce, was split into three separate entities:
  • NBC Holding Corporation
  • National Microfinance Bank (NMB)
  • NBC (1997) Limited
In 2000, South African financial services group Absa Group Limited acquired a majority stake in NBC.
The Government of Tanzania retained a 30% shareholding and the International Finance Corporation (IFC), a member of the World Bank Group, took up 15% shareholding in the bank. The new entity became known as NBC Limited.
 
Fikra zako zimeishia hapo? Hainihusu kwa vipi. We una hati milki ya hii timu? Tukiambiana ukweli unatuona hatuhusiki. Mambo mengine ya kishamba.
Ukweli unajua wewe!
Kwahyo ww una akili sana kuliko viongozi wote wa Yanga

Kama Yanga unaona hapakufai unaachana nayo kushabikia, coz timu zipo nyingi sana

Punguza ujuaji
 
Mkuu, watu wanajitoa ufahamu, eti anahoji wakati bank imeanza miaka ya 1967, ukihesabu ni miaka 54, Pengine mtoa mada alikuwa hajazaliwa! leo anaona ni jambo jipya sana.

Ngoja nimsaidie mtoa mada kusoma kidogo historia ya NBC.

The Bank traces its origins to 1967 when the Tanzanian Government nationalised all financial institutions, including banks. In 1991, the banking industry was amended and six years later, in 1997, the institution then known as National Bank of Commerce, was split into three separate entities:
  • NBC Holding Corporation
  • National Microfinance Bank (NMB)
  • NBC (1997) Limited
In 2000, South African financial services group Absa Group Limited acquired a majority stake in NBC.
The Government of Tanzania retained a 30% shareholding and the International Finance Corporation (IFC), a member of the World Bank Group, took up 15% shareholding in the bank. The new entity became known as NBC Limited.
Kwani Yanga na NBC kipi cha kwanza kuwa established?

Msijisahaulishe kuwa Yanga ndio iliongoza harakati za kupigania uhuru wa nchi hii na hao NBC ndio wakapata nafasi ya kuja kuweka banking service yao hapa nchini

Na kwasababu wamekuwa established muda ndio wanapata nguvu ya kuwa Twiga mwekundu

Acheni ujinga nyie makolo huyo Twiga mwekundu mkivaa nyie imetosha hiyoo
 
Duh! Leo tuna kiburi mpaka hatua hii. Kweli ukitaka kujua tambia ya mtu msubiri akipata pesa [emoji119][emoji119]
Na hiyo million 156 kwa mwaka, maana yake kwa mwezi ni takribani milioni 10

Huo ni mshahara na ikiwezekana haifiki kwa mildified maestro Khalid Aucho "Tank"
 
Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.

View attachment 1965727

Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.

View attachment 1965730
Kuna pesa moja ya noti hapa Tz,Ni maarufu Kama m_simba_zi,sijawahi kusikia na Wala haitatokea, mashabiki wa timu pendwa ya wananchi KuGoMa kuitumia na kuweka kwenye mapochi yaoooooo vyura [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hatimae TFF imeingia Mkataba na Bank ya NBC Tanzania kwa Muda wa Miaka 3
Moja ya Kanuni ni Timu kuweka Nembo ya Mfadhili Upande wa Kulia wa SARE ya kila Timu.
YANGA wana Tabia ya KUPINGA Rangi Nyekundu kama tulivyonavyo wakati Mfadhili akiwa VODACOM Tanzania.

Nitashangaa sana Iwapo na Safari hii Watagoma. Nashauri WAKIGOMA wajitoe hatuwezi kuyumbishwa na Timu Moja kwani hata Wakijitoa hakuna Madhara kwani hata Ubingwa Wameshindwa kwa Miaka 4 Mfululizo. Nembo inayowatisha YANGA NI HII

3816141a9d9e2f0b1fd0a2b91166a8d9.jpg
 
Kwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?

Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?

Young_Africans_SC_%28logo%29.png

Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?
Na moto wa kijani ajibu

Afu aache uto wake kuuleta humu
Kwasababu hakuna m*eng* aliebuni mwenge wa kijani mpaka leo
 
Back
Top Bottom