Sa mbona mnalia lia kuwa ni kikosi cha pili,kwani hata kwa kikosi chenu mnachokiamini mara ya mwisho kumshindilia mtu goli 4 ilikuwa ni lini bloangu?Kwani matokeo hayajapatikana? Maanake timu inajiamini hata walioko benchi wanaweza kuleta matokeo
Hakuna aliyelia bali watu wanapongeza kuwa Yanga ina kikosi kipana. Wamekosekana key players kadhaa na point zimechukuliwa. Kuhusu kushinda magoli mengi ngoja tusubiri siku na wao wakicheza na wapinzani pungufu watashinda magoli mangapiSa mbona mnalia lia kuwa ni kikosi cha pili,kwani hata kwa kikosi chenu mnachokiamini mara ya mwisho kumshindilia mtu goli 4 ilikuwa ni lini bloangu?
Bila shaka yule Mwenyekiti wao wa zamani aliwaza mbali sana pale alipowaita mbumbumbu.Hilo kawaida yenu, ile mechi Simba na Singida hamkuwa na maswali mengi mkaona ni mistake ya kipa ila kwa Yanga ni tofauti. Mechi ya Prison mchezaji kampa Sakho mpira akafunge lakini ilionekana ni mistake ila kwa Yanga huwa sio mistake ni maswali mengi
Teh teh teheeeeeHakuna aliyelia bali watu wanapongeza kuwa Yanga ina kikosi kipana. Wamekosekana key players kadhaa na point zimechukuliwa. Kuhusu kushinda magoli mengi ngoja tusubiri siku na wao wakicheza na wapinzani pungufu watashinda magoli mangapi
Nilie mimi au wewe uliye chini yangu.Sa unalia bloangu?
Kwani mlishikwa miguu msikipange hicho kikosi chenu mnachokiamini?
Hahahaaaaaaaa,Chini ya wapi bloangu?Nilie mimi au wewe uliye chini yangu.
Sasa wewe katika misimu hii miwili ulipo cheza na mimi,makalio yenu yalitetemema mara ngapi na mwanaume akakugonga mara tatu mfululizo baada ya kumtetemeshea makalio.Hahahaaaaaaaa,Chini ya wapi bloangu?
Ihefu tu hata makalio yalikuwa yanatetema jinsi walivyowatoa jasho baada ya kupata kagoli cha ndondokela.
Mbao ya hisani na mtani jembe bloangu???Sasa wewe katika misimu hii miwili ulipo cheza na mimi,makalio yenu yalitetemema mara ngapi na mwanaume akakugonga mara tatu mfululizo baada ya kumtetemeshea makalio.
Ihefu fanya kama unabonyeza kwenye mshono
Huyu kumrudisha tumekosewa sana,tangu aje hata kipindi kile sijawahi kuona kama ni mchezaji boraHahahahahaha ila Kisinda ni miyeyusho mazee aaah
Bila shaka umelala hapo hapo maana uliishiwa nguvu kabisaMkishinda niko pale nimekakaa
Tafuta rekodi za miaka 6 nyuma za Simba na Yanga halafu uone nani kamgonga mwenzake mara nyingi hapo sijaongelea ya muda wate ambayo nimekugonga mara nyingi na April na kugonga tena na timu yenu kama toroli linalo tegemea tairi moja (CHAMA).Mbao ya hisani na mtani jembe bloangu???
Hata kwenye takwimu za wenye akili haijumishwi,
Kwenye michuano inayotambulika kama ligi kuu mlikuwa mnaambulia droo na mnashangilia balaaaa,hahaaaaaaaaaaaa,watoto wadogo sana nyie,wadanganyeni Geita watoto wa jana
Mna wachezaji 13 wakigeni mpaka sasaHuyu kumrudisha tumekosewa sana,tangu aje hata kipindi kile sijawahi kuona kama ni mchezaji bora
Hili nadhani kwenye mfumo wa TFF wameshaweka list ya wachezaji 12 kama mfumo unavyohitaji. Kilichobakia sasa ni mambo ya nje ya systemMna wachezaji 13 wakigeni mpaka sasa
Sheria inataka wachezaji 12
Sijajua kama Kisinda anaweza akawa kwenye mipango ya kuondolewa ila mpaka saizi sijajua itawezekana vipi na dirisha limefungwa
Ila kuna unconfirmed rumors zinazodai kuwa Morrison ndiye anayepigwa panga
🤣🤣🤣 mshukuruni thana kipaBila shaka umelala hapo hapo maana uliishiwa nguvu kabisa
Rekodi zenu shida mnazinunua bloanguTafuta rekodi za miaka 6 nyuma za Simba na Yanga halafu uone nani kamgonga mwenzake mara nyingi hapo sijaongelea ya muda wate ambayo nimekugonga mara nyingi na April na kugonga tena na timu yenu kama toroli linalo tegemea tairi moja (CHAMA).
Ngao ya hisani aihesabiwi labda kwenu,nenda kwenda list ya makombe aliyo chukua Man Utd halafu ndipo utajua Community Shield zinahesabiwa, sema ndio sizitaki mbichi hizi wakati timu huna.
Tuzinunue wapi haya za miaka sita nyuma hapa tuweke.Rekodi zenu shida mnazinunua bloangu
Bloangu unanichosha ujue,ngoja nimalize kula kwanza.We jifanye hujui tuTuzinunue wapi haya za miaka sita nyuma hapa tuweke.
Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa shabiki wa Utopolo na kukosa akili?Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa shabiki wa Simba na kukosa akili?
Kipa ni mchezaji pia,na ili ufungwe lazima ufanye makosa.......Mayele lazima apewe heshima yake tu🤣🤣🤣 mshukuruni thana kipa