Mwenyekiti asingewezekana kupatikana kwa mazingira ya kipekee yaliyowekwa na Marehemu Magufuli kuanzia 2015. Ni wazi kuwa Mwenyekiti wa chama mpyq angepatikana baada ya Mh. Lowassa kuingia ikulu.
Kilichofuata baada ya kuporwa ushindi wa CHADEMA 2015 ni siasa kufanywa haramu nchini na Rais Magufuli kujiapiza na kujilaani kuwa ifikapo 2020 atakuwa amashaua vyama vyote vya upinzani.
Baada ya juhudi zake kubwa pamoja na uhalifu mkubwa dhidi ya demokrasia, na kushindwa kabisa kuua upinzani nchini, aliamua kuiba chaguzi zote, akijitangaza yeye na chama chake kuwa ndiyo wanastahili kuongoza pekee.
Uhuni huo haujuruhusu chama kufanya chaguzi zozote.
Alaaniwe huko aliko yule mshenzi.