johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nccr mageuzi ni UKAWA!Hao wakashirikiane na TLP na UDP!
Hahahaaaa...........!Aache Ujinga mama Tanzania
CUF não wanadai hivyo hivyo! NCCR atafute wa kuungana nao ila milango ya kushirikiana na CDM imefungwa!Nccr mageuzi ni UKAWA!
Bwashee siasa haina uadui wa kudumu!CUF não wanadai hivyo hivyo! NCCR atafute wa kuungana nao ila milango ya kushirikiana na CDM imefungwa!