Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Hatushirikiani ni wasaliti. Apeleke ujinga wake Lumumba.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.

Source: East Africa Radio
 
Hatushirikiani na WASALITI

2478255_EShBv-EX0AAt84a.jpg



Wapinzani muwe na umoja!
 
Ushirika na CCM umefia wapi?
Mbatia anapaswa kujua mchawi hana rafiki, na ushirika wa kichawi haudumu
Lakini Ccm hawana pa kulaumiwa maana walimlipa Mbatia. Na akatamba sana kwamba ata simamisha wabunge na madiwani Tanzania nzima. Sasa muungano wa nini tena? Tuna subiri apate wabunge na madiwani wa kutosha. Maana hata yeye kama ni kuingia bungeni ni kupitia viti vya sketi..
 
Yaani walishajipakaza mavi wanataka wakawanukishe CDM?

Hapana wakafie mbele na Fissiem wao.
 
Mbatia ni mtu wa "system" kama Maalim,Pumba tupu,Cheyo,BM na ZZK. Wanaishi 'paycheck" zao za TISS kiroho safi huku wakipiga ruzuku.
 
Mama Tanzania kaingia cha kike ccm hawaaminiki.
 
Tulisema humu mbatia atapotezwa kisiasa
Vikao vyake vya Kawe umevuna ulichopanda
Sijui kama hata ubunge utapata
Umefika mtoni kayaoge usiogope ukimaliza vuka ng'ambo ile ( kilimo cha migomba ni deal siku hizi ujue)
 
Wakati Chadema inapita kwenye tanuri ya moto, Mbatia alikua ana fanya ziara za kukiendeleza Chama akipokewa na ma RC wateule wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom