Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Hapa nionavyo mimi ni kwamba, wengine wanaomba ushirikiano ili walete ushirikina kwa kuvujisha / kuchunguza kinachoendelea kimikakati na vinginevyo ili wasipitwe kuripoti wanayoyahitaji.
Kuweni watu wenye macho yamulikayo gizani.
 
2015 mama Tanzania
2020 Bibi Tanzania
2025 nyanya Tanzania
2030............
 
Al
Wakati Chadema inapita kwenye tanuri ya moto, Mbatia alikua ana fanya ziara za kukiendeleza Chama akipokewa na ma RC wateule wa Magufuli.
Alikuja mpaka huku busokelo rungwe eti anavuna wafuasi wa chadema.
 
Si alishasema anaunga mkono mgombea wa ccm, sasa ashirikiane vipi na cdm wenye maono kinzani?
 
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.

Source: East Africa Radio
Edward Simbeye namfahamu sana. Huyu ni CCM Lia lia halafu ndio msemaji wa NCCR?
 
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.

Source: East Africa Radio
kulikoni tena wanawatosa ndugu zao ccm again hali walipewa uhahika majimbo 20
 
Nawasikitikia kina Komu,na wale kina viti maalumu walioandikiwa barua kuunga juhudi
 
Nccr ni washirika wa ccm na TLP na cuf ya Lipumba, Nld, Chauma, na uvccm.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.

Source: East Africa Radio
 
Huyo ze Mbatia ajiandae kwa maumivu maana ndiyo malipo ya usaliti, eti ooo Nccr inaenda kuwa KUB!
Ule mpango wa kupewa majimbo 20 umebuma, CCM asilia wamekomaa hataki laghai za mwenyekiti
 
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.

Source: East Africa Radio
Waunde ushirika wao UDP, NCCR, TLP, CCM, TADEA, CHAUMA, CHAUSITA, na DP
 
Back
Top Bottom