Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Uchaguzi 2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

NCCR hawakuwa wanamjua jiwe kuwa ni muongo wa kutupwa, naona kaona waunga juhudi wanatoswa, halafu akimpigia simu jiwe hapati mrejesho stahiki kulingana na makubaliano ya awali, anaona bora arudi kwenye upepo wa Lisu.
 
Si mlikuwa mnadai kwamba mtapewa zaidi ya majimbo 20 na ccm na mtaunda kambi ya upinzani? Kumbe mlidanganywa? Magari mliyoahidiwa yapo?

Ninyi nccm (nccr + ccm) mwaka huu ndo mmepotea mazima.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom