Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Mbatia aliishajitoa na ndio maana hata aliomba Mbowe amtoe kwenye baraza a mawaziri kivuli la kambi rasmi ya upinzani.UKAWA
Wapinzani muwe na umoja!Hatushirikiani ni wasaliti. Apeleke ujinga wake Lumumba.
Hahah wahuni sio watu.Mbatia si alishafika bei na kuhaidiwa kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila keshalamba bullion akwena mbatia harudi bungeni huku chama ndio kinakufa ivyo
Lakini Ccm hawana pa kulaumiwa maana walimlipa Mbatia. Na akatamba sana kwamba ata simamisha wabunge na madiwani Tanzania nzima. Sasa muungano wa nini tena? Tuna subiri apate wabunge na madiwani wa kutosha. Maana hata yeye kama ni kuingia bungeni ni kupitia viti vya sketi..Ushirika na CCM umefia wapi?
Mbatia anapaswa kujua mchawi hana rafiki, na ushirika wa kichawi haudumu
Tena na Mimi nasisitiza..No!NCCR ni tawi la mkulu
Umoja gani na waliyoukataa waziwazi?Wapinzani muwe na umoja!
Hahahaaaa...........!
Sii ili waingize fitina watu wagawanyike.mama Tanzania mnafiki sanaKwanini asiungane na ccm au cuf?! Kwanini CHADEMA?!
Aliahidiwa u KUBMbatia si alishafika bei na kuhaidiwa kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni [emoji23][emoji23][emoji23]