peter ajali francis
Member
- Feb 25, 2018
- 7
- 8
Alikuja mpaka huku busokelo rungwe eti anavuna wafuasi wa chadema.Wakati Chadema inapita kwenye tanuri ya moto, Mbatia alikua ana fanya ziara za kukiendeleza Chama akipokewa na ma RC wateule wa Magufuli.
Edward Simbeye namfahamu sana. Huyu ni CCM Lia lia halafu ndio msemaji wa NCCR?Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
kulikoni tena wanawatosa ndugu zao ccm again hali walipewa uhahika majimbo 20Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio
Hao wakashirikiane na TLP na UDP!
wanataka waambulie angalu majimbo machache hao wakaungane na ukawa yao yaani cuf,udp,tlp,nccr na ccm dhidi ya ACT na CDMKwanini asiungane na ccm au cuf?! Kwanini CHADEMA?!
Ule mpango wa kupewa majimbo 20 umebuma, CCM asilia wamekomaa hataki laghai za mwenyekiti
Hatuhitaji kinyaa sisi. Arudi CCM!
na mbatia harudi bungeni huku chama ndio kinakufa ivyo
Akashirikiane na CCM alikopeleka mboga na nina mshaurinaanze kuaga kabisa aanze kuaga kabisa jimboni kwake maana hatatoboa.
Aache Ujinga mama Tanzania
Nccr mageuzi ni UKAWA!
Hahaha walisema CHADEMA imewadhulumu sana pesa ! Sasa Leo wanataka washirikiane na wez? Wanachekesha
Kama wale walionunuliwa na kuahidiwa Pepo na Jiwe Wajumbe wamepiga Spana,Mbatia ndio ajiandae kupotea ki Siasa
Waunde ushirika wao UDP, NCCR, TLP, CCM, TADEA, CHAUMA, CHAUSITA, na DPMkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu.
Source: East Africa Radio