Kenya na Ethiopia hakuna wajinga na uswahiliRipoti sio ya kweli, haiendani na hali halisi ya nchi za africa, Tz imeipiku Ethiopia, afu Kenya haipo, huu utafiti wa uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio TWAWEZA hawa "wazungu" hawajui kuwa huku dunia imebadilika bado wanatumia vigezo vya miaka ipi, maana hata Tz ipige hatua iwe km South Africa bado itaonekana iko LDC, sisi tuna huduma nyingi za kijamii ambao hao hawana, tuna mabadiliko makubwa kuanzia kibiashara hadi kielimu
Bado unajitafuna tuSio TWAWEZA hawa "wazungu" hawajui kuwa huku dunia imebadilika bado wanatumia vigezo vya miaka ipi, maana hata Tz ipige hatua iwe km South Africa bado itaonekana iko LDC, sisi tuna huduma nyingi za kijamii ambao hao hawana, tuna mabadiliko makubwa kuanzia kibiashara hadi kielimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananchi wewe huwez kunielewa hadi pale utakapovua hilo joho la kujidharau na kujibeza, jiondoe kwenye fikra hizo ndo uone clear nachomaanisha
Unamung"unya tu badoMwananchi wewe huwez kunielewa hadi pale utakapovua hilo joho la kujidharau na kujibeza, jiondoe kwenye fikra hizo ndo uone clear nachomaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani na wewe umefanyaje?
Wazungu wanasema kuna nchi za Dunia ya kwanza Na ya tatu.Ukiwauliza Africa Kusini inaangukia kundi lipi ? Hawana jibu.Hadi saa Hii ninapoandikaSio TWAWEZA hawa "wazungu" hawajui kuwa huku dunia imebadilika bado wanatumia vigezo vya miaka ipi, maana hata Tz ipige hatua iwe km South Africa bado itaonekana iko LDC, sisi tuna huduma nyingi za kijamii ambao hao hawana, tuna mabadiliko makubwa kuanzia kibiashara hadi kielimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti zao za kibepari zishaanza kuwa stori za Readers DigestWazungu wanasema kuna nchi za Dunia ya kwanza Na ya tatu.Ukiwauliza Africa Kusini inaangukia kundi lipi ? Hawana jibu.Hadi saa Hii ninapoandika
Ungeweka na chanzo cha hbr. 2015 kulingana na IMF tulikua kumi bora ya nchi zenye uchumi mzuri Africa. Haiwezekani tukaporomoka haraka hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii Forum imegeuka shule ya kukuza vipaji vya upumbavu.
Hivi thread hii ya hayawani huyu anaejitia kidole na kujinusa tunaivumilia kweli?
Uwongo mtupu haina hata chembe mmoja ya ukweli,hizo ndio malicious propaganda,and cheap fake publicity.Unavonana hii post ina ukweli Au Ni uongo? Tuanzie hapo kwanza
Ndio uone uongo mtupu huu.Hata Burundi wametuzidi? Data ya mwaka gani hii?