Nchi ambayo Wafanyabishara wanaweza kugharamia safari za Rais za Kitaifa na Kimataifa haiwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

Naomba Akupe Jibu Nasubiri.
 
Ni kanuni mafuta hata ingekua kushuka haitajalisha hayo mafuta wamenunua kwa bei gani yatatakiwa kushuka hiyo ni kanuni ya biashara. Gharama za Rais hazijagharamiwa na wafanyabiashara wa Tanzania ile ni biashara kubwa Royal Tour win win Tanzania haina hati miliki ya hiyo filamu lakini inatangazwa kwa gharama ya mtayarishaji ambaye atapata pesa nyingi na Tanzania itapata watalii na wawekezaji wengi shida iko wapi?
Shida ni kila jambo likipangwa na SSH ni kupinga tu mngeambiwa gharama za kutengeneza filamu ni Tsh 10bn mngekubali si ndiyo mngekula pilipili kichaa ili mchonge midomo
Mwl Nyerere sitaki kumzungumzia wale wanaomsifia ni wanafiki miaka 30 katawala Tanzania ilipata nini zaidi ya mateso
SSH katoa Uhuru wa kujieleza ndiyo huu sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hatari yake ndio kama hii, wanashindwa kusimamia maslahi ya nchi.

Mtu anakulipa unapata wapi nguvu za kumkaripia.
Kwani wafanyabiashara siyo wananchi? Hawawezi kuwa wazalendo kwa nchi yao na Serikali yao? Au wazalendo ni wanyonge tuu? Mbona JPM alikuwa mwanasiasa mfanyabiashara lakini alisimamia baadhi ya mambo kwa uzalendo mkubwa? Alikuwa na mahoteli, mbuga yake binafsi ya wanyama, Mayanga construction etc etc
 
Wakati wanaume tukiwa tunajadili mada kama hizi zenye maslahi mapana ya nchi yetu, uwe ujanitajidi kukaa pembeni ukatuachia wanaume tujadili.

Wewe sasa ni wakati ulitakiwa kuandaa nguo za watoto kesho za shule na uendelee kujadiliana na dada wa kazi tamthilia huku ukijiandaa kumsubiri mume wako arudi kuja kukupiga miti.

Hizi mada huziwezi mama angu
 
Muulize
 
Kwani mikataba zilizosainiwa hazitaleta ajira n.k nchini?
 
Hapa tumekwisha, bandugu.
Serikali Corrupt hununuliwa na wenye pesa.
Wanamnunua kuanzia KAMBARE hadi dagaa.
Na hivi ndivyo ilivyotokea. Wenye mali sasa ndo wanaotoa mwongozo kwa KAMBARE.
KAMBARE naye anakuwa hana namna, isipokuwa kufuata maelekezo ya wenye mali bila kujali watu wa kipato cha chini wanaumia kiasi gani.
Lakini Mungu ni mkubwa sana.
 
Nilimuona yule jamaa wa makampuni ya kukwapua ya miaka ile akisign mikataba mbele ya hangaya huko marekani. Rostam Aziz the king maker the owner of Kagoda Agriculture company etc is here now in full swing tumekwisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…