Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.

Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.

Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
 
It holds water

Unajua lazima ifike mahali mtu akiona Askari ajue ile ni mamlaka.

Ingawa kufuatilia mienendo yao ni vizuri ila watu wajue polisi wanayo kazi ya ziada ya kuwaweka raia katika mstari hasa hasa raia walioshindikana.
 
Uzuzu at its best ndani ya nchi yetu, women's n men's in uniforms wanatakiwa wafanye kazi kwa mujibu wa kisheria, wao sio kuwa wapo juu ya sheria ni HAPANA, elewa mtuhumiwa anapokimbia kutoka crime scene sio tishio tena na police hawaruhusiwi kumpiga risasi, ni wajibu wao kutumia njia zingine za kumkamata.

Namibia 🇳🇦, Botswana 🇧🇼 na Zambia 🇿🇲 police wao wapo super na nchi zipo salama, mgeni unapoendesha gari ukichoka unapark gari kwenye check points za police wa Zambia na kulala!

Botswana unaweza park mbele ya main gate ya jeshi na kulala!je unaweza fanya haya pale Lugalo barracks? In short tumo in police state na mazuzu wanashangilia tu.
 
Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana.
Wahalifu na washukiwa wa uhalifu ni makundi tofauti kabisa.

Ila watu wanachotaka ni mahakama iachwe kazi yake ya kuwahukumu wahalifu na sio kila mtu afanye hivyo..

Kama ikitokea watuhumiwa waliuawa wakijaribu kupambana na polisi au kushambulia polisi au kutoroka hapo hakuna tatizo.
 
Mtu akishathibitika ni muhalifu anakuwa si jambo la pilisi tena.
 
Wahalifu hawana nafasi kwa Sasa hapa nchini Maana watanzania Tupo bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kuwaadabisha vibaka wote na makundi yote ya kihalifu kuhakikisha kuwa wananchi wanaishi kwa amani na utulivu bila kuhofia vibaka.

Haiwezekani vibaka wakajitawala katika nchi yetu wakiua kutesa kujeruhi kupora watu Mali zao na kuwaacha watu na virema, lazima wakutane na mkono wa dola, lazima wapitishwe katika njia ya majuto na ngumu.

Lazima walipe gharama ya matendo yao ya kiharamia, Jeshi letu la polisi linaendelea kupambana nao huku sisi wananchi tukiliunga mkono kwa juhudi zake za kupambana na uhalifu.
 
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.

Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.

Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
Tqtizo ninaloliona hapa ni utamaduni wa kihalifu ambao Watanzania wengi wanao na wanaupractice bila haya. Wewe ni mfano mmojawwpo wa watanzania wanaoishi usemi huo. Polisi wengi ni wahalifu in uniforms

Polisi ana mechanism gani kisheria kutoa hukumu nje ya mahakama?
 
Wahalifu na washukiwa wa uhalifu ni makundi tofauti kabisa.

Ila watu wanachotaka ni mahakama iachwe kazi yake ya kuwahukumu wahalifu na sio kila mtu afanye hivyo..

Kama ikitokea watuhumiwa waliuawa wakijaribu kupambana na polisi au kushambulia polisi au kutoroka hapo hakuna tatizo.

unajua kukutwa na hatia mahakamani si lazima uwe umetenda kosa,na kukoswa na hatia mahakamani si kwamba ni kweli hukufanya kosa!!!!

wapo wahalifu akifika mahakamani hafungwi,hata ungealika ushahidi gani.
 
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.

Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.

Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
Miongozo,kanuni na taratibu ndiyo msingi wa Weledi katika utendaji kazi,ukikiuka sheria na kanuni unapaswa kufikishwa mahakamani kama wahalifu wengine.

Otherwise,tuwaongezee mamlaka kikatiba isomeke "vyombo vitaua,au kuteka au kutumia nguvu pale vitakapoona inafaa",
 
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.

Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.

Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
Ni nchi gani kwa mfano?
 
Wahalifu hawana nafasi kwa Sasa hapa nchini Maana watanzania Tupo bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kuwaadabisha vibaka wote na makundi yote ya kihalifu kuhakikisha kuwa wananchi wanaishi kwa amani na utulivu bila kuhofia vibaka.

Haiwezekani vibaka wakajitawala katika nchi yetu wakiua kutesa kujeruhi kupora watu Mali zao na kuwaacha watu na virema, lazima wakutane na mkono wa dola, lazima wapitishwe katika njia ya majuto na ngumu.

Lazima walipe gharama ya matendo yao ya kiharamia, Jeshi letu la polisi linaendelea kupambana nao huku sisi wananchi tukiliunga mkono kwa juhudi zake za kupambana na uhalifu.

True!
Wawa uwe tu mpaka watu waogope kuwa majambazi au vibaka, hii ina wezekana walahi
 
Jeshi la vilaza na mazuzu hilo lina amini katika misingi ya jeshi la kikoloni kujua kusoma na kuandika ndio sifa kuu na kulinda banks weledi zero, maadili zero

Jeshi la police ni majambazi ambao wapo kwa mujibu wa sheria.
 
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.

Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.

Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.

Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
Kwahivyo Mahakama zifutwe? Je walawiti nao wauwawe?
 
True!
Wawa uwe tu mpaka watu waogope kuwa majambazi au vibaka, hii ina wezekana walahi

Mbona hao wezi wa pesa za umma wanaotajwa na ripoti za CAG hawauwawi? Au ukishakaa kwenye ofisi ya umma una kinga ya wizi?
 
Back
Top Bottom