Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

Mkuu hivi polic wa zambia unawajua?
 
Ila wale wezi wanaotajwa na CAG kuiba mabilioni ya fedha za umma wana kinga ya wizi wao.
 
Mkuu hivi polic wa zambia unawajua?
Twna hakuna police wababe kama wa wazambia, watu humu wanalopokalopoka tu
Kenya wenyewe wale gsu wakienda kwenye operation ya uhalifu huwa wanamalizaaa tu na kama kuna panya yuko ndani anaambiwa kabisa asitoke
Maana kuna kazi moja tu

Ova
 
Mkuu jaribu kuchunguza sana leo, polisi wamemwagwa huku mitandaoni, wanaanzisha post kila muda kuhalalisha haya mauaji. Hapa jf pekee kuna nyuzi zaidi 5 nazo ziko kuhalalisha haya mauaji ya polisi.
Tindo huwezi deal na jambaz kwa kumbembeleza
Dunia kote wale wahalifu sugu mwisho wao huwa mmbaya
Hata tanzania pia wale majambazi sugu wote mwisho wao huwa ni kuuliwa
Hata huko marekani mnaposema kuna democratic,majambazi sugu huwa eliminated

Uko sahihi kabisa, lakini kwa mwenendo wa polisi wetu, huwezi kuwaamini wanapomtuhumu mtu kuwa ni jambazi. Unapokuwa na jeshi linalobambikizia watu makosa, utakuwa unafanya kosa kubwa kuruhusu jeshi la aina hiyo kufanya mauaji.

Huko Marekani mtu akituhumiwa kuwa ni jambazi utakuta ni jambazi kweli. Ila sio kwa hawa polisi wetu wanaoweza kumuua mtu kwa kuwanyima pesa, kisha wakasingizia kuwa ni muhalifu.
 
huko marekani ndiko mtu alikandamizwa na goti akipiga kelele anaumia mpaka akakata roho.

kufikiri kila cha wazungu ni bora kukuzidi huu nao ni ugonjwa.
 
Ila wale wezi wanaotajwa na CAG kuiba mabilioni ya fedha za umma wana kinga ya wizi wao.

ndio maana unaambiwa usiibe mali za masikini,wewe unaiba kuku wa mwenzako( ni laana hiyo).

wenzako wanaiba tozo,wananunua migari,watoto wanakwenda feza na ist.

ukiiba kuku huwezi kuwa na hata hela ya kuhonga polisi wala jaji,utapata tabu sana my friend.
 
Hakuna lolote,, kwani usalama unashikwa na polisi???Polisi wanaweza kuondolewa jeshi likaendelea na kazi.
 
It holds water

Unajua lazima ifike mahali mtu akiona Askari ajue ile ni mamlaka.

Ingawa kufuatilia mienendo yao ni vizuri ila watu wajue polisi wanayo kazi ya ziada ya kuwaweka raia katika mstari hasa hasa raia walioshindikana.
Mwisho wa siku ni vita na uhasama kati ya polisi na raia
 
Polisi yupi atakubali upark nje ya kituo chake? Wa tz? Ili umchinje kama mkuranga?
Hata hapa zamani walikuwa friendly kidogo, tangu vituo vianze kuvamiwa ukienda usiku unahojiwa kwanza tokea mbali kabla huhaingia kituoni

Hizo nchi ulizotaja subiri waanze kukabiliwa na mashambulizi kama utawasifia tena
 
Mkuu jaribu kuchunguza sana leo, polisi wamemwagwa huku mitandaoni, wanaanzisha post kila muda kuhalalisha haya mauaji. Hapa jf pekee kuna nyuzi zaidi 5 nazo ziko kuhalalisha haya mauaji ya polisi.
Duh mpaka unajua idadi ya nyuzi?
 
Una majibu mazuri sana
 
hiyo virema badala ya vilema nikajua hili ni likurya kama kawaida yao kuuwa wala sio tatizo..
 
huko marekani ndiko mtu alikandamizwa na goti akipiga kelele anaumia mpaka akakata roho.

kufikiri kila cha wazungu ni bora kukuzidi huu nao ni ugonjwa.

Hatua kali dhidi ya polisi yule zilichukuliwa. Ama hukuona?
 
Umeongea utoto gani dogo?!
 
Kwanza hii operation ni cha mtoto
Bado
Watu tushaona operation kali zinafanyika za police wakiwa na wanajeshi ku deal na wahalifu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…