MANGANAATAU MATHITHINYANA
Senior Member
- Mar 17, 2022
- 101
- 97
Mkuu, aikupa hata mfano mmoja tu, unishtue. Alivyoanza mada yake vizuri nikadhani kichwani mwake kuna wapangaji wa kutosha!!!Ni nchi gani kwa mfano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, aikupa hata mfano mmoja tu, unishtue. Alivyoanza mada yake vizuri nikadhani kichwani mwake kuna wapangaji wa kutosha!!!Ni nchi gani kwa mfano?
Mkuu hivi polic wa zambia unawajua?Uzuzu at its best ndani ya nchi yetu, women's n men's in uniforms wanatakiwa wafanye kazi kwa mujibu wa kisheria, wao sio kuwa wapo juu ya sheria ni HAPANA, elewa mtuhumiwa anapokimbia kutoka crime scene sio tishio tena na police hawaruhusiwi kumpiga risasi, ni wajibu wao kutumia njia zingine za kumkamata.
Namibia [emoji1176], Botswana [emoji1052] na Zambia [emoji1268] police wao wapo super na nchi zipo salama, mgeni unapoendesha gari ukichoka unapark gari kwenye check points za police wa Zambia na kulala!
Botswana unaweza park mbele ya main gate ya jeshi na kulala!je unaweza fanya haya pale Lugalo barracks? In short tumo in police state na mazuzu wanashangilia tu.
Wahalifu hawana nafasi kwa Sasa hapa nchini Maana watanzania Tupo bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kuwaadabisha vibaka wote na makundi yote ya kihalifu kuhakikisha kuwa wananchi wanaishi kwa amani na utulivu bila kuhofia vibaka.
Haiwezekani vibaka wakajitawala katika nchi yetu wakiua kutesa kujeruhi kupora watu Mali zao na kuwaacha watu na virema, lazima wakutane na mkono wa dola, lazima wapitishwe katika njia ya majuto na ngumu.
Lazima walipe gharama ya matendo yao ya kiharamia, Jeshi letu la polisi linaendelea kupambana nao huku sisi wananchi tukiliunga mkono kwa juhudi zake za kupambana na uhalifu.
Twna hakuna police wababe kama wa wazambia, watu humu wanalopokalopoka tuMkuu hivi polic wa zambia unawajua?
Tindo huwezi deal na jambaz kwa kumbembelezaMkuu jaribu kuchunguza sana leo, polisi wamemwagwa huku mitandaoni, wanaanzisha post kila muda kuhalalisha haya mauaji. Hapa jf pekee kuna nyuzi zaidi 5 nazo ziko kuhalalisha haya mauaji ya polisi.
Acha kuniuliza maswali ya kizuzu mkuu, mimi ninaishi hapa KalomoMkuu hivi polic wa zambia unawajua?
Tindo huwezi deal na jambaz kwa kumbembeleza
Dunia kote wale wahalifu sugu mwisho wao huwa mmbaya
Hata tanzania pia wale majambazi sugu wote mwisho wao huwa ni kuuliwa
Hata huko marekani mnaposema kuna democratic,majambazi sugu huwa eliminated
Ova
Uko sahihi kabisa, lakini kwa mwenendo wa polisi wetu, huwezi kuwaamini wanapomtuhumu mtu kuwa ni jambazi. Unapokuwa na jeshi linalobambikizia watu makosa, utakuwa unafanya kosa kubwa kuruhusu jeshi la aina hiyo kufanya mauaji.
Huko Marekani mtu akituhumiwa kuwa ni jambazi utakuta ni jambazi kweli. Ila sio kwa hawa polisi wetu wanaoweza kumuua mtu kwa kuwanyima pesa, kisha wakasingizia kuwa ni muhalifu.
Ila wale wezi wanaotajwa na CAG kuiba mabilioni ya fedha za umma wana kinga ya wizi wao.
Hakuna lolote,, kwani usalama unashikwa na polisi???Polisi wanaweza kuondolewa jeshi likaendelea na kazi.Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana.
Ukishaanza kuwabana polisi kwa kisingizio cha ubinadamu huwa haina kurudi nyuma, utawabana hiki, kitalalamikiwa kile utawabana. Utawabana utawabana. Mwisho utajikuta umewapotezea kabisa uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi. Hapo ndipo nchi zinaingia kwenye uhalifu usiodhibitika. Polisi wataacha kujali kushughulikia uhalifu kwa kuhofia taratibu zinazowabana.
Kumbuka wahalifu wengi hawana habari na haki za binadamu. Wao kuwabana polisi kwa kigezo cha haki za binadamu ni nafasi ya kutenda uhalifu wao vizuri.
Polisi na haki za binadamu ni suala tete, linahitaji umakini mkubwa sana.
Mwisho wa siku ni vita na uhasama kati ya polisi na raiaIt holds water
Unajua lazima ifike mahali mtu akiona Askari ajue ile ni mamlaka.
Ingawa kufuatilia mienendo yao ni vizuri ila watu wajue polisi wanayo kazi ya ziada ya kuwaweka raia katika mstari hasa hasa raia walioshindikana.
Polisi yupi atakubali upark nje ya kituo chake? Wa tz? Ili umchinje kama mkuranga?Uzuzu at its best ndani ya nchi yetu, women's n men's in uniforms wanatakiwa wafanye kazi kwa mujibu wa kisheria, wao sio kuwa wapo juu ya sheria ni HAPANA, elewa mtuhumiwa anapokimbia kutoka crime scene sio tishio tena na police hawaruhusiwi kumpiga risasi, ni wajibu wao kutumia njia zingine za kumkamata.
Namibia [emoji1176], Botswana [emoji1052] na Zambia [emoji1268] police wao wapo super na nchi zipo salama, mgeni unapoendesha gari ukichoka unapark gari kwenye check points za police wa Zambia na kulala!
Botswana unaweza park mbele ya main gate ya jeshi na kulala!je unaweza fanya haya pale Lugalo barracks? In short tumo in police state na mazuzu wanashangilia tu.
Duh mpaka unajua idadi ya nyuzi?Mkuu jaribu kuchunguza sana leo, polisi wamemwagwa huku mitandaoni, wanaanzisha post kila muda kuhalalisha haya mauaji. Hapa jf pekee kuna nyuzi zaidi 5 nazo ziko kuhalalisha haya mauaji ya polisi.
Una majibu mazuri sanandio maana unaambiwa usiibe mali za masikini,wewe unaiba kuku wa mwenzako( ni laana hiyo).
wenzako wanaiba tozo,wananunua migari,watoto wanakwenda feza na ist.
ukiiba kuku huwezi kuwa na hata hela ya kuhonga polisi wala jaji,utapata tabu sana my friend.
hiyo virema badala ya vilema nikajua hili ni likurya kama kawaida yao kuuwa wala sio tatizo..Wahalifu hawana nafasi kwa Sasa hapa nchini Maana watanzania Tupo bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kuwaadabisha vibaka wote na makundi yote ya kihalifu kuhakikisha kuwa wananchi wanaishi kwa amani na utulivu bila kuhofia vibaka.
Haiwezekani vibaka wakajitawala katika nchi yetu wakiua kutesa kujeruhi kupora watu Mali zao na kuwaacha watu na virema, lazima wakutane na mkono wa dola, lazima wapitishwe katika njia ya majuto na ngumu.
Lazima walipe gharama ya matendo yao ya kiharamia, Jeshi letu la polisi linaendelea kupambana nao huku sisi wananchi tukiliunga mkono kwa juhudi zake za kupambana na uhalifu.
huko marekani ndiko mtu alikandamizwa na goti akipiga kelele anaumia mpaka akakata roho.
kufikiri kila cha wazungu ni bora kukuzidi huu nao ni ugonjwa.
ndio maana unaambiwa usiibe mali za masikini,wewe unaiba kuku wa mwenzako( ni laana hiyo).
wenzako wanaiba tozo,wananunua migari,watoto wanakwenda feza na ist.
ukiiba kuku huwezi kuwa na hata hela ya kuhonga polisi wala jaji,utapata tabu sana my friend.