Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Kwa mtukufu tolu
Rwanda
Rwanda
Watanzania wengi hatujui kujielezaUnatamani ufike Tanzania?
wonders shall never end
Kuna Somalia na Somaliland ni nchi mbili tofautiSomalia hii hii Au kuna nyingine mkuu? Hapana🤭
Halafu hapo anajiona yuko very right na atakuja na matusiWatanzania wengi hatujui kujieleza
Dah ndiyo umeamua kukoleza winoo, maandishi makubwaa , nilimaanisha sitamani kufika nchi yoyote, na hata ningeambiwa nifike kwa mara ya pili basi still ningeichagua nchi yangu ambayo naifahamu amani yake. Haya umeelewa sasa?Unatamani ufike Tanzania?
wonders shall never end
Wewe naye usiwe bendera kufuata upepo, kumbuka wewe ni rijali wewe. Hapo kujielezea na kutamani kufika nchi vinahusiana?. Kuna maelezo yoyote yanayotakiwa hapo? Wewe maelezo yako unayojua yako wapi?. Sawa malaika Fortaleza.Watanzania wengi hatujui kujieleza
Umethibitishaje kuwa FORTALEZA ni rijali?Wewe naye usiwe bendera kufuata upepo, kumbuka wewe ni rijali wewe. Hapo kujielezea na kutamani kufika nchi vinahusiana?. Kuna maelezo yoyote yanayotakiwa hapo? Wewe maelezo yako unayojua yako wapi?. Sawa malaika Fortaleza.
Matusi ya nini sasa mambo madogo haya and i admit, i make mistakes sometimes and am ready to be corrected ila pia sijaelewa kwanini unasema am not right kutaja Tanzania, kuna mikoa zaidi ya 20 ambayo yote ni Tanzania na sijawahi kufika mikoa hata 10, je nisiitaje kwa sababu hiyo?. Aah wee Bingwa beer vipi bana. Ni mtizamo wangu.Halafu hapo anajiona yuko very right na atakuja na matusi
Cape Verde nikatalii na kuenjoy toto Kali chotara za mchanganyiko wa kibantu na kirenoMimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Sorry kumbe ni mkeo, basi ni mrembo mkuu mnisamehe bure hiyo familia yenu.Umethibitishaje kuwa FORTALEZA ni rijali?
Unajichanganya kweli.Sorry kumbe ni mkeo, basi ni mrembo mkuu mnisamehe bure hiyo familia yenu.
Dah sema Ethiopia Kuna watoto wazuri jameni yaani Kuna channel moja hivi inaitwa Abol Kama sijakosea #146 on DStv yaani huwa nikiwa mwenywe naangalia tamthiliya zao lengo ni kuona watoto wazuri walivyojaaliwa sura, nywele , rangi etc sema hata huku Chugga nimeona wairaq amabao ni chocolate 🍫 so najihisi nimefika Addis Ababa. Shida kwa sasa ni wahuni wangu wa TPLFMimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?