financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Hujakosea mkuu, mimi sipo vizuri na najijua wala huna haja ya kunijulisha tena.Unajichanganya kweli.
Uwezo wako wa kujieleza kweli ni wa kiwango kingine..
keep it up
Ila nimeona unaniuliza nimejuaje kama yeye ni rijali, inamaanisha wewe unamfahamu siyo rijali ni mkeo eeh?. Uwezo wa juu Bingwaaa, uwe na usiku mwema mkuu🤪