sema ukajue tamadun zako, yale makubwa uyaonayo kule yamewekwa na babu zako ambao walifukuzwa kwa hujuma za watu weupe il kufuta ukuu wa mtu mweusi, always unapoongelea misri, jua kuwa unawaongelea babu zako waliohujumiwa ardhi na urithi wao na hayo mashetan meupeEgypt nikaone historia ya pyramids na mambo ya ufalme tamaduni zao ktk afrika hii nchi inahistoria pana Sana ukiifatilia utagundua mengi.
wew umejuwa kutoa jibu zuri, , inashangaza kuna mjuba mmoj humu kaitaja eritrea na nchi ya ethiopia huko ambako hakuna amani, na muda huu tunatype kuna majeshi ya wasaliti wa nchi hiyo wanaongozana kwenda kupindua nchi, na bado kijana wa Tz buza anatamani aache ugali na dagaa wa mwanza et aende uko anakokuonaga kwenye Tv bila kujua anayoyaonaga ktk tv kiuhalisia ni hovyo....Kiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.
Tanzania hakuna amani, bali kuna utulivu tu.Kiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.
Msaliti ni nani? Msaliti anaweza kuungwa mkono na umma?wew umejuwa kutoa jibu zuri, , inashangaza kuna mjuba mmoj humu kaitaja eritrea na nchi ya ethiopia huko ambako hakuna amani, na muda huu tunatype kuna majeshi ya wasaliti wa nchi hiyo wanaongozana kwenda kupindua nchi, na bado kijana wa Tz buza anatamani aache ugali na dagaa wa mwanza et aende uko anakokuonaga kwenye Tv bila kujua anayoyaonaga ktk tv kiuhalisia ni hovyo....
Hahaha kuna documetanry moja niliona mbuzi analishwa maboksi duh!!! HUKO ni balaaaChad Djamena nasikia huko mbuzi analamba reli njaa kali mchanga wa chuma...
Mambo madogo mkuu, kawaida kurekebishana.financial services pumzika mke wangu naona wajuba wana ku attack kweli kweli
Mbona Tanzania hii hii Lijenje ajulikani alipo amani ipi mnayoizungumzia...mkuu wa wilaya anateka watu na kupora pesa Bank na kuhukumiwa miaka 30 jela hii uliisikia wapi Duniani kama sio hapa na Mexico tuuwew umejuwa kutoa jibu zuri, , inashangaza kuna mjuba mmoj humu kaitaja eritrea na nchi ya ethiopia huko ambako hakuna amani, na muda huu tunatype kuna majeshi ya wasaliti wa nchi hiyo wanaongozana kwenda kupindua nchi, na bado kijana wa Tz buza anatamani aache ugali na dagaa wa mwanza et aende uko anakokuonaga kwenye Tv bila kujua anayoyaonaga ktk tv kiuhalisia ni hovyo....
🚮🚮🚮🚮Wewe naye usiwe bendera kufuata upepo, kumbuka wewe ni rijali wewe. Hapo kujielezea na kutamani kufika nchi vinahusiana?. Kuna maelezo yoyote yanayotakiwa hapo? Wewe maelezo yako unayojua yako wapi?. Sawa malaika Fortaleza.
kwanini hizo sehemu?NAMIBIA
Haswa sehem hizi
Sossusvlei
Sesriem
Luderitz
Swakopmund
Spitzkoppe
Brandberg mountain
kwanini Cape verde master?Karibuni Cape Verde Islands
Huko ni kwenda kutafta mateso tu. Watu tumeisha zoea ata tukiua mbu tunanawa mikono alaf uje unipeleke kwenye nchi ya jangwa kama hioHahaha kuna documetanry moja niliona mbuzi analishwa maboksi duh!!! HUKO ni balaaa
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Vyema umemalizia “ni mtizamo tu”Kiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.