financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Hujakosea mkuu, mimi sipo vizuri na najijua wala huna haja ya kunijulisha tena.Unajichanganya kweli.
Uwezo wako wa kujieleza kweli ni wa kiwango kingine..
keep it up
Nigeria
Nina sababu nyingi sana, nitazielezea kwa kirefu nikipata nafasi,,
Ulikua na changamoto sana ya kujibu maswali pasipo kulisoma vizuri swali na mahitaji yake enzi hizoKiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.
Hahaha umenitangulia kusema nawakubali sana wanawake wa EritreaEritrea kujionea maujuzi ya Mungu.
Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Kiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.
Ahsante kwa taarifa mkuu. Ila ingefaa kama hata enzi hizo ungenichana ukweli kwenye hayo majibu, huoni kama ingesaidia na huenda tusingefika huku?Ulikua na changamoto sana ya kujibu maswali pasipo kulisoma vizuri swali na mahitaji yake enzi hizo
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app