Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
wengine wanafurahia kuuwa kabisa watu lakini uckichukuwa uhai wa mtu kwa damu na uhai wako utachukuliwa na mwanadamu kwa damuBongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Hilo ni kipimo cha ufaham mdogo na elimu (kama wanayo) ambayo haikuwasaidia.Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Haya makundi ndio yanashadadia na kufurahia raia wenzao kupigwa au kutaabishwa na polisi katika harakati zao za kisiasa?Ni matokeo ya kauli chafu au za kubeza mnazotoa kwa makundi ya watu au jamii wanaodhihakiwa.
Walimu - mnaowaita mazuzu eti wanaisadia CCM kuiba Kula.
Wasuk*ma/kanda ya Ziwa - Mliowatukana na kuwakashifu kipindi cha JPm
Pwani/Waislam - Wavaa kobazi
Polisi - Mnaowakejeli kila siku
Baadhi ya Madhehebu- hasa wasikubaliana na itikadi zenu wanaambulia matusi na kejeli.
Kizazi cha 2000 - mnakiita mambumbu,hawana akili,kutwa kuonyesha makalio huku mkisifia vijana wa Kenya.
Kanda ya Kati - Mnawakebehi pia
Rudia kusoma kichwa cha uzi kwanza na uzi mzima pia.kwamba umeshakaa kwenye inchi zote duniani unawajua raia zake au umeshafanya utafiti inchi ngp?
Ebu tuachane kwanza na hao Watanzania waliocheka na kufurahia.Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Watanzania wengi wana matatizo ya akili, nadhani kama 95%!Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Kama wewe cha kufanya ni mpaka uniulize mimi.Ulitaka nichukue hatua gani kwa mfano??
Lingine hili hapa....papai kabisaKwahiyo una maoni gani juu ya hilo!
Wamechoka kununa!Wanune
Hatutaki watu wanaochezea amani na uhuru wetu.
Mliandamana kwa amani mkapewa ulinzi.
Mkaanza kupanda mabega na slogan za kihaini ndio wananchi wakawashtukia kwamba lengo lenu ni madaraka na maslahi tu.
Mngengoja uchaguzi muanze slogan zenu.
Mlipokuwa na lengo zuri mliandamana bila tatizo.
Bongo ina maajabu yake.
Sijwahi kuona nchi yoyote duniani baadhi ya raia wake wanashadadia au wanafurahia police kupiga, kunyanyasa, kutaabisha au kusumbua raia wake wengine katika karne hii.
Hii ni ukiacha mataifa kama Marekani au Africa Kusini katika enzi zao za ubaguzi wa rangi.
Vibaraka wa Wazungu hawapaswi kuonewa huruma
View: https://www.instagram.com/p/DAQBOXeq3MX/?igsh=MWJsenUxdHhnMXFqNg==
Mbona wewe umeshindwa kuitumia? 🤣🤣🤣🤣"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."
Jeff's O'Brien.
Hata mimi nashangiliaga nalipenda sana nikiona lile gari la maji washawasha😀Wegine niliona wanashangilia wakiona zile gari zilizobeba polisi zinapita, hakika huu ni zaidi ya uzwazwa.
Ni chama cha hovyo sanaBila uwepo wa polisi hiki chama cha chadema kitatufikisha tusipotaka kufika kama nchi