Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Yako wapi sasa ?!
U dictatorship wa kuwalazimisha wa vitu mwisho wake ni uharibifu . Ongoza mihula yako ikiisha sepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yako wapi sasa ?!
Maendeleo bila demokrasia yatawezekana kweli?.Tanzania ndo tutaanza na wengine wataiga kwetu
Sasa huyu shule alienda kusomea nini jamani?Misri na Libya ni Afrika?
Wale ni waafrika wenye asili ya uarabu angalau wao si fukara kama sie,japo viongozi wao walikaa mda mrefu angalau walileta maendeleo ya watuDuh, kwamba somo la geographia LA darasa LA 4 ilikupita? Misri na Libya zipo middle east? Ndio maana serikali inatakiwa iendelee kutoa elimu bure kwa nguvu zote!!
Labda maendeleo ya maghorofa katikati ya mji chigaliVp kwa Rwanda
Zimeishia wapi baada ya hayo maendeleo?Misri na Libya!
Misri na Libya!
Wamejaa humu jukwaani wa aina hiyo.Sasa huyu shule alienda kusomea nini jamani?
Vp kwa Rwanda
Ngapi....? Tutajie backatika nchi zilizo endelea na Rwanda Ipo? unajua GDP per capita yao?Unajua poverty level yao?
Kusoma beyond ulichosoma wewe unaehisi Afrika ni mipaka!Sasa huyu shule alienda kusomea nini jamani?