Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Lejea vizuri ktk historia ya hayo mataifa uliyo yatoleo mfano .........
Iko hivi kipindi mataifa ya Africa yanapata uhuru bado viongozi wa awali nyuma ya dipromasia kulikuwepo mkono wa mabeberu
Ambapo moja ya makubaliano ilikuwa ni ulinzi kwa viongozi ili wakae madarakani kwa mda mlefu ndani yake kukiwa na masilai ya mabeberu
Kama raisi alikaa mda mlefu madarakani alikuwa mshirika wa mabeberu na kama alienda kinyume basi mabeberu walichpchea maandamano au wali panga mapinduzi ili raisi aliyeko madarakani apinduliwe na kama sio kwa njia hiyo nchi iliwekewa vikwazo
Mfano wa mataifa ambayo kiongozi wake walio pinduliwa na kuuwawa kwa hila za mabeberu ni congo, msumbiji, Malawi, guinea, Uganda, child, Ghana, Sudan, Libya na Zambia ndani yake kuna mauaji ya viongozi na pia kuna kupinduliwa na pia kuna kulinda viongozi
Pia moja ya nchi iliyowekewa vikwazo ni zimbabwe na sudani
Lakini kuna nchi ambazo zimekuwa zikifuata matakwa ya mabeberu pengine athari zake hazionekani kwa ulahisi Lakini tatizo kubwa ikiwemo South Africa, Kenya, Tanzania na zinginezo
Leo hi kwa Tanzania tunapo sema tuondokane na unyonyaji na matakwa ya mabeberu ni kama kutengeneza uchumi ambao siyo tegemez, leo hi kuondokana na unyonyaji wa madini kama ilivyo kuwa kwa barrick, tusiingiliwe kwenye mambo yetu ya ndani na mengineyo ya kionyonyaji hususani kwenye rasilimali za taifa
Kwa leo uwezi mlinganisha magufuli na viongozi wengine kwani anajua anacho kifanya ni real mzalendo tangia ameingia ikulu hajawah kwenda kujikomba kwa hao mabeberu yeye anafocus kujenga taifa hayuko ktk mlengo wa kwenda nje ya nchi
Hajaingia madarakani kwa support ya mabeberu yupo kwa masilai mapana ya taifa
Ndio maana huwaga anasema tumuombee
Make hiki kikombe ni kigumu
Tazama siku yesu anakabili kifo aliomba ikiwezekana kikombe kimuepuke na mapenzi ya Mungu yatimizwe
Ndugu zangu swala la kupambana na mabeberu ni vita ya uchumi sio yepesi wana mbinu na wana uwezo wa kufanya lolote
Umoja wetu wa kitaifa ndio silaha pekee ya ushind
Tazama leo hi marekani hailali usiku na mchana ili iyakikishe China isiwe top ya uchumi dunian
Iran isiwe top wa nyukiria
Ukiyaona hayo jiulize umezaliwa wapi na utaifanyia nini nchi yako
Sent using
Jamii Forums mobile app