Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Sio nitafuniwe..... Mm naelewa Rwanda ni mojawapo ya nchi ambazo zipo vizuri ukanda huu wa afrika mashariki.unataka utafuniwe kila kitu ?
Sio nitafuniwe..... Mm naelewa Rwanda ni mojawapo ya nchi ambazo zipo vizuri ukanda huu wa afrika mashariki.unataka utafuniwe kila kitu ?
Raia wa Rwanda ndio wanaoongoza kwa umasikini kwa sasa duniani
Sio nitafuniwe..... Mm naelewa Rwanda ni mojawapo ya nchi ambazo zipo vizuri ukanda huu wa afrika mashariki.
Kwanza Tutajie inayoongozwa kwa kupokezana na ina maendeleo...Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Bila shaka umetania, kama ni kweli basi tuilaumu tu sisiemu. Wewe bila shaka ni bavicha.Misri na Libya ni Afrika?
Libya imeharibiwa n waarekani wewe acha ujinga.Maendeleo lzm yawe endelevu,libya ni mfano mzuri wa kujenga nchi juu ya mgongo wa mtu mmoja badala ya taasisi,hata Nyerere alifikiri kudumu kwenye uongozi kutamhakikishia kuisogeza nchi kimaendeleo lkn badala ya kusonga mbele alishuhudia mporomoko wa uchumi akamua kusimama pembeni ni kwa sababu Nyerere alikuwa na hekima lkn hao akina museveni ni watu wa kawaida sana wanaongozwa na woga na ubinafsi tu hawafai kuwa tolea mfano.
Kabisa mkuuHuyo anajua mambo ya siasa za CCM vs CDM vs ACT nje ya hapo usitegemee points za maana.
Ni kama unatoka usingizini vile,tunaweza kufikiri ni utani kumbe unamaanishaMisri na Libya ni Afrika?
Mleta Uzi inaonyesha jinsi gani ulivyo mweupe kichwani.Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!!
Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais aongezewe muda ni ubinafsi ambao matokeo yake ni udikiteta!
Kikwanzo kikubwa sana cha maendeleo Afrika ni ubinafsi (udikiteta) sio mabeberu. Hivi nchi yenye raia zaidi ya 50 m unawezaje kufikiri wewe ni bora zaidi kuliko wengine wote. Wazo kama hilo ni ubinafsi ambao huzaa udikiteta.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Mkuu serious unasema jambo la 2008 wakati huu..... 11 years back...sema ya Rwanda ya sasa na ya Tz ya sasa
Duh, kwamba somo la geographia LA darasa LA 4 ilikupita? Misri na Libya zipo middle east? Ndio maana serikali inatakiwa iendelee kutoa elimu bure kwa nguvu zote!!
[/QUOTMnaombishia ndio mnaakili ndogo sio kwamba mleta Mada hajui ila anaangali Libya na misri kwa jicho jingine
Misri na India ni mataifa ya kale kupindukia ambayo mpaka leo bado hayana maendeleo makubwa.Misri na Libya!
Labda ungefuatilia population ya Libya na utajiri wa mafuta na gesi kisha ulinganishe na maendeleo ya watu wake na utajiri wa kiongozi wake wa wakati huo marehemu Gaddafi.Misri na Libya!
LOL leo umenirudisha darasanai mkuu. Semester ya kwanza mwaka wa 4...Maendeleo katika mtazamo upi? wa madaraja na barabara? sawa, ya kijamii je? yalikanyagiwa chini. Mwanadamu amezaliwa kuwa huru na si hivyo tu bali mahitaji ya binadamu yanabadilika kila uchao. Akisharidhika na jambo moja huwa anataka lingine. Kwenye management tunasema a satisfied need is not a motivator. People cannot be motivated by a single motivating factor. There is always hierarchy of need.
Kwa hiyo kusema kwamba umenunua ndege na umejenga madaraja ndo watu watakuwa motivated forever ni kujidanganya.
LOL leo umenirudisha darasanai mkuu. Semester ya kwanza mwaka wa 4...
Sent using Jamii Forums mobile app