Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Hao 10% wameifanyia nini tz?
Hao 90% ndio wamewasomesha hao wenye degree wakitegemea watapata matokeo chanya.
Hao 10% ndio wapo kila kona kuanzia ngazi za maamzi mpaka kwenye mashirika ya umma ambayo kila siku ya tangaza hasara.
Tupe matokeo ya elimu yao imelisaidia nini taifa
🤣🤣🤣🤣
Umempiga na kitu kizito Sana.
Yeye nje ya kuajiriwa anaweza fanya nini cha maana Kama sio kunyonga tai