Kama unadegree nafikiri tutaafikiana.
Yaani nakubaliana na wewe kwenye "mfumo" wa Elimu ulivyo mbovu sio Elimu kama Elimu nadhani utakua umenielewa, na ndio msingi wa kukwambia una point kiaina.
Iko hivi.......
Mfumo rasmi ambao na mimi nimeupitia una pumba nyingi sana ambazo hazina maana yeyote kwa msomaji japokuwa mchele upo kiduchu . Sasa hizi pumba ndio naona nakubaliana na wewe upande huo kwamba kuna vitu vingi sana tunavisoma ambavyo vingine ni outdated, vingine ni irrelevant na mazingira, vingine ni functionless n.k n.k ambacho hivo vyote ni pumba tupu naona
Chukulia mfano mwanafunzi anaesoma mathematics std 2/3 halafu anafundishwa logarithms na hesabu zingine zinazofanana na hizo niambie atakuja kuapply kwenye mazingira gani yanayomzunguka baadae? Hapo ndio nasema ni "functionless"
Mfano mwingne, history mwanafunzi anafundishwa kuhusu "Evolution of Man" anaambiwa binadamu wa Kwanza alikuwa ni nyani then akawa anabadilika mpaka kuwa binadamu [emoji2]..... Do you think hyo ni realistic? Jibu ni "Big No"!!!!.
Mwanafunzi anafundishwa kuhusu kina Othman dan Fodio, kina zwangendaba, Dingiswayo currently in this era [emoji23][emoji23] stupid kabisa. Wenzetu wanabadilika wanasomeshwa technology since wakiwa wadogo tena kwa vitendo
sisi tumeng'ang'ania TU pumba zile zile miaka nenda Rudi unadhani tunapata ukombozi kwa njia ya Elimu?
Kuhusu technical education nadhani ndio elimu pekee kwa nchi zetu hizi ambazo unafundishwa straight kitu kinaeleweka na ukimaliza unatoka na ujuzi wa jambo fulani. Binafsi nataka watoto wangu niwakazie wafocus zaidi kwenye technical education kuliko huu UPUUZI mwingne.
Conclusion:- Pamoja na hizo changamoto za Elimu ya mbongo still huwezi fananisha na asiesoma kabisa [emoji13]... Hapo tu mleta Mada umechemka kwa hiyo point yako so unachojaribu kuaminisha umma pia ni stupid kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].