Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea



🀣🀣🀣🀣

Umempiga na kitu kizito Sana.

Yeye nje ya kuajiriwa anaweza fanya nini cha maana Kama sio kunyonga tai
 


Je Kama CCM mi mradi?
 
Unashangaza kweli kwaiyo unakubaliana na ccm kuwa tuna elimu bora,
wakati huo huo unadai na kunatangaza chanzo cha matatizo yote ni ccm.
Kwanini sasa hizo degree bora kabisa mlizonazo zimeshindwa kuwa tiba ya matatizo yaliyo sababishwa na ccm?
 
Upumbavu mtupu unaiponda degree wakati walionayo hawafiki hata 10% ya jamii ya tz (mil. 60) alafu unawalaumu

Hao 90% wasio na degree wameleta maendeleo gani?
Unawapa sifa wasio na degree na ndo wengi tz tuoneshe mchango wao kwenye maendeleo.


πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Twende polepole Mkuu Acha kupaniki.

Maendeleo ya wasio na degree kwenye nchi hii hayaelezeki Mkuu.
Au degree yako imekupofusha?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Twende polepole Mkuu Acha kupaniki.

Maendeleo ya wasio na degree kwenye nchi hii hayaelezeki Mkuu.
Au degree yako imekupofusha?
Sasa kama wasio na degree na ambao ni wengi wanamaendeleo yasiolezeka sasa mbona unasema nchi haiwezi kuendelea? Si tayari ishaendelea tayari kwa hisani ya wasio na degree?
 
Unashangaza kweli kwaiyo unakubaliana na ccm kuwa tuna elimu bora,
wakati huo huo unadai kuwa unatangaza matatizo yote yamesababishwa na ccm.
Kwanini sasa hizo degree bora kabisa mlizonazo zimeshindwa kuyaondoa hayo matatizo yaliyoletwa na ccm?
EEh bwana, hebu nionyeshe ninapokubaliana na ccm kuwa tuna elimu bora?
Nilimtahadharisha mleta mada asikurupuke/paramie kujibu, badala yake wewe unamfanyia kazi hiyo, kakutuma, au ni wewe huyo huyo mwenye majina tofauti.

Kutokana na uandishi, nina kila sababu ya kudhani ni wewe huyo huyo mleta mada, lakini hilo tuliache.

Mada ni mbovu kabisa, na nimeona 'ROBERT' mwenyewe kani'quote' hapo chini, ngoja nikamsome anasema nini yeye.
Wewe nakuweka pembeni.
 
Sasa kama wasio na degree na ambao ni wengi wanamaendeleo yasiolezeka sasa mbona unasema nchi haiwezi kuendelea? Si tayari ishaendelea tayari kwa hisani ya wasio na degree?


Maendeleo ya kukariri au maendeleo yapi Sheikhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…