Nchi hii hata watu wote wawe na Degree moja, haiwezi kuendelea

Inakusaidia wewe maana ukienda hopitali hutibiwi na darasa la saba
 
Nimekuuliza swali Mkuu, wewe ndio unipe maana na majibu ya swali langu
Umeuliza swali gani? "Je kama CCM mi mradi?

Mkuu 'ROBERT', tusipotezeane muda. Nilidhani una kitu cha kujadili, lakini kumbe hakuna chochote.

Imenilazimu nikakusome tokea mwanzo hadi mwisho, sioni la kujadili humo, bali ni mkusanyiko wa mawazo yanayopingana yenyewe. Kwa hali hiyo, naomba nijitoe, sina stamina ya mijadala ya aina hii!
 
Wakati unategemea matokeo chanya kwa mwenye degree umeweka rasilimali zipi ili upate tija ya hiyo degree
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umempiga na kitu kizito Sana.

Yeye nje ya kuajiriwa anaweza fanya nini cha maana Kama sio kunyonga tai
Kabla hujazungumzia nje ya ajira umejiuliza anatumia muda gani kutumikia ajira?
 
Wakati unategemea matokeo chanya kwa mwenye degree umeweka rasilimali zipi ili upate tija ya hiyo degree
Wewe unataka upewe rasilimali zipi ili tija ionekane?
Duniani kote wanajua elimu ndio rasilimali kubwa kuliko zote,
Degree yako inataka rasilimali gan zaidi?
Wewe mwenyewe unaprove degree yako ni upuuzi
 
[emoji2][emoji2][emoji2]

Twende polepole Mkuu Acha kupaniki.

Maendeleo ya wasio na degree kwenye nchi hii hayaelezeki Mkuu.
Au degree yako imekupofusha?
Kwahiyo wastani wa kipato cha wenye degree ni ndogo kuliko wasio na degree
 


Chakujadili kipo Boss.

Unapoihusisha CCM na maendeleo ya nchi unamaana gani?

Mimi nimezungumzia ishu ya elimu hasa ya kiwango cha shahada kuwa impact yake ni ndogo kwenye maendeleo ya nchi kutokana na kuwa inaua akili za vijana badala ya kuzichipusha na kuzistawisha.

Hata CCM iondolewe leo madarakani alafu wanachama wote waende Vyama vingine, bado nchi hii itapiga mark time tuu pasipo kusonga popote.

Elimu ya kupiga iga,
Elimu ya kunukuu
Elimu ya kuua ubunifu
Elimu inayosimamiwa Kisiasa
Elimu inayofundisha kudharau kazi zingine,
Elimu inayounda mtazamo watu wapenda pesa kuliko kazi.
Elimu inayofundisha watu kudharau utamaduni wao🤣🤣🤣

Hiyo Elimu kamwe haiwezi msaidia mtu kulikomboa taifa lake
 
Sasa kama wasio na degree na ambao ni wengi wanamaendeleo yasiolezeka sasa mbona unasema nchi haiwezi kuendelea? Si tayari ishaendelea tayari kwa hisani ya wasio na degree?
Safi sana mkuu. Huyo mwenye degree analalamika kwasababu amekuwa na mzigo mkubwa wa wasiona degree
 
Elimu haina tatizo na napingana na yeyote asemae kuna shida katika elimu, shida iko katika UBONGO wa mtu mweusi...

Jiulize Ni watanzania wangapi wamesoma nje ya nchi ambako kwa maelezo yako kuna mfumo mzuri wa elimu alafu Impact yao katika nchi iko wapi?
 
Hii ni mada ya kichizi. Hainihusu.
 
Kwahiyo wastani wa kipato cha wenye degree ni ndogo kuliko wasio na degree
Hawa wenye degree ambao wanategea mshahara wao ulipwe kutokana
na kodi za hao wasio na degree ambao kila siku wanalalama waongezewe mishahara.
Una degree hujui hata kufanya argument,
Tunaongelea mchango wa elimu katika taifa sio katika mshahara wao wanaolipwa na hao wasio na degree.
 
Kwahiyo wastani wa kipato cha wenye degree ni ndogo kuliko wasio na degree

Nje ya Ajira wewe na degree yako mtaani unapigwa hata na mtoto ambaye shule hajawahi fika.

Wewe degree yako mpaka uajiriwe ndio usema inatija?

Zamani ndio watu walidanganywa na karanga za kuonjeshwa(Degree zenu) sasa hivi HAO wenye degree vipato vyao ni dhoofu ilhali kwani hawajaajiriwa.

JPM ndiye aliwaumbua na kuwavua nguo wasomi baada ya kusitisha Ajira.
Mwenye hizi degree pasipo Ajira ni Sawa na Simba asiye na kucha
 
Robert na. Ndiyo wale wanakimbiza moto nchi nzima Kwa Gharama kubwa huku wakishona mpaka sare za moto
 
Umeni
Kumbusha Yule Dingi wa Kyela anayesema hawezi kukosolewa na darasa la Saba kisa ana Degree nne,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…