Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama!
Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
20250712_144350.jpg
 
Acha uzwazwa , unamuandama Mrisho Gambo kwa lipi hapo? Sasa kama Mbunge si ndiyo kazi yake kuhamasisha maendeleo.Sasa kwanini hao watu wapate huo uneme kipindi cha Uongozi wake na si kabla ya hapo?!
Acheni uchawa kwa Makonda na kumpuuza Gambo.
Wengi wenu ni wachumia tumbo na machawa tu !
 
Kwa malipo ya wabunge KPI zao zingetakiwa ziwe kubwa sana, kwa zama hizi mbunge kuja kuchonga barabara na kuleta umeme ni ujinga kwa kweli tunatamani kuona uwekezaji wa kwenye majimbo, kumaliza matatizo ya ajira, ila mimi naona viongozi wanafanya kinyume na sisi tunawachekelea tu ndio maana namuelewa sana mkurugenzi anayeacha kazi kwenye taasisi kubwa kwenda kuwa mbunge kupiga makofi tu na kumsifu mama ndo unaonekana unafanya kazi poor Tanzania
 
Una point mkuu, Wabunge wengi ni clueless Ya nini hasa wanakipigania mwenye uongozi wao.

Leo hii ukiwauliza ilikuaje wakapitisha kikokotoo kwa Mafao ya mfanyakazi, wakati sisi wafanyakazi hatukuwatuma.

Ni kweli ni wawakilishi wetu, au wanajiwakilisha.
 
Back
Top Bottom