Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

M
Mkuu umeleta mada nzuri sana

I hope tutaitendea haki
 
kuna watu vichwani mmebeba kamasi badala ya akili
 
Mkuu ngosha/Mangi/Manka sababu ziko wazi,

1.Soko la mazao lilishuka kipindi Cha Mwendazake. Mnunuzi mkubwa wa mahindi ni Kenya mahisi unafahamu uhusiano wa Kenya na tz ulivyokuwa. Kenya akaopt kwenda Mexico.

2. Wanaomaliza kidato Cha nne wengi wanakosa nafasi za kidato tano. Ndalichako na Mwendazake wakaona alternative ni kuwapeleka vyuo kusomea certificates. Huko wengi wanaangalia kozi zenye fursa za ajira. Nazo Ni za afya.
 
mbona tayari- vijana wanaolima wanalima visivyolika
 
At least nakuelewa lkn hadi umelimudu vzr zao na kuanza kupata faida umeshakosea Mara kadhaa...
 
Watanzania sijui wanataka nini
Chakula kikipanda bei lawama,kikishuka bei lawama

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Uzi unafikirisha sana, yaan heka 20 mtu anapata gunia 200 basi ujue hapo gharama alizotumia ni kubwa mno,
Hilo la nursing pia upo sahihi, tuzidi kumuomba Mola muumba mbingu na ardhi

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mkuu kumuomba mola afanye nini?? Yaani Mungu arekebishe hali au asaidie nini ikiwa sisi wenyewe (watu) hatufanyi juhudi za makusudi kurekebisha hali iliyopo??

Mungu hawezi kusaidia kwa lolote ikiwa hakuna juhudi binafsi.

Mkuu, hakuna kitu ambacho kipo real na hakidanganyi kama
"LAW OF CAUSE AND EFFECT"

Achana na ule upuuzi wa sijui tumuombe mungu afanye nini sijui...

JUST STICK TO THIS LAW OF CAUSE AND EFFECT AND GOD WILL OBEY REGARDLESS UNAMUOMBA AU LA!!!
 
Mafuta ya kula yakipanda bei ni fursa kwako mkulima. Sasa lima alizeti upige pesa. Kuhusu mahindi NFRA wamepewa pesa wayanunue. Tafuta vituo vyao ukauze.
Kulima Alizeti sawa, iko kwenye peak. Hivi umeisikia bei ya mbolea na pembejeo zingine ni hatari. Ukivuna huenda u break even au upate hasara Mkuu.
 
ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.

Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Serikali ya awamu ya 5 ilikuwa inaona sifa eti hakuna inflation kwenye vyakula, pasipo kujua deflation pia ni kitu kibaya.

Ikifika kipindi kila mtu hataki kilimo ndio tutakuja kuona utamu wake.
 
Kanunue mahindi uwape kuku. Yapo chini.
 
Tunakoelekea,kuna uwezekano wa namba ya waandamanaji kuishinda namba ya watakaokuwa tayari kuwavunja miguu
very sad.
 
Kwanini Bakhresa anaweza kununua mahindi na kufunga unga wa Azam wengine washindwe?

Mikoa inayozalisha mahindi ingejengwa viwanda vya kutwanga na kusaga mahindi. Ifungwe mifuko ya unga wa dona, sembe na mahindi yaliyokobolewa kwa walaji wa kande na kitheri.

Hii itazalisha ajira na wakulima watapata soko la mazao yao.
 
we ongea kiingeereza chako tuu! huwezi jua anayetaka kukusaidia pengine anajua kiswahili tuu..😌🥴
 
story of changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…