Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Inconsistency and unpredictability country ndio the United Republic of Tanzania. ..policies. Ukishakuwa na rais, wabunge, madiwani na mawaziri walioingia madarakani kwa rushwa, dhuluma, kwa kutumia vyombo vya dola na kumwaga damu za watu wao wenyewe huku waki promote ubaguzi wa ki vyama, kikanda, kikabila na kidini LAANA inaingia. Watendaji wengine wote RC, DC, RAS, majaji na mahakimu ...wanateuliwa na mtu mwenye mikono iliyo na harufu ya damu mbichi na laana. Kwa hiyo hakuna jema litakalozaliwa. Hawa ni viongozi zao la laana na bahati mbaya mno kila bunge likikaa wanaanza na sala kumkumbusha Mungu uovu wao. Baya zaidi mijadala yao ni ya hovyo mpaka unawaza. Kwa kifupi priority ya viongozi wetu hawa ni Uchaguzi ujao anaoatia wapi fedha, anapatia wapi rushwa, aende wapi apate per diem, amkalishe nani wapi iki chain iwe imara, akwepeje kodi, mshahara uongezekeje nk nk. Suala la mahindi na maisha yenu ni by the way. Poleni maana ni msiba wetu sote. Shida ni VIONGOZI.
 
Kuna miezi yake ,unalima kwa timing sio unalima muda wote broo,kuanzia december mpaka march tenga la nyanya halijawahi kuwa chini ya 50000
Apo sasa bado inatakiwa ukutane na wajuzi wa hii mambo Mkuu. Kulima nyanya sio kazi ya kitoto
 
Serikali A na Serikali B.

Jiandae kwa njaa.
 



Hata wewe mkuu ungepewa hiyo dhamana mambo yangalikuwa hivyo hivyo tu au mabaya zaidi, shida ni aina ya watu tuliopo zama hizi labda kije kizazi kingine hapo baadaye kitakachofikiri nje ya Box.
 
Jinga kweli wewe.chadema na kina zito ndo wanaongoza hii nchi.badala ujadili mada iliyopo mezani umekalia ujinga,chadema chadema.
 
Itakua chadema ndio wamefanya watu wasile ugali na kupunguza bei ya mchele.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa hali unayokutana mimi pia ilinikuta 2018.

Nakushauri punguza ekari za kulima ili uzihudumie vizuri na upate magunia mengi hizo ekari 20 ulitakiwa uwe na gunia 400+ mpaka 500.

Lima ekari kumi zihudumie vizuri kwa huduma ya ekari 15. hizo utapata gunia 200+ hivyo utakuwa umepunguza gharama za uzalishaji na kupata mavuno mengi.

Kuhusu soko nchi hii sasa hivi soko la nafaka liko chini sana mimi nina gunia zangu za mpunga lakini kwa bei iliyopo niko tayari kuzifungia ndani mpaka mwakani.
 
Masoko gani? Hakuna mtu atauza mahindi Ulaya yenye sumu kuvu na machafu..tukuze sekta ya kilimo.ili mahindi yapate soko..

Kama Michele unasuasua sembuse mahindi?
 
Hata wakienda vyuo vikuu ni Kazi bure,hii nchi imekaririsha watu kuajiriwa na mbaya zaidi kwenye soko la ndani tuu hakuna mtu anawaza soko la nje wala biashara
 
Nani wa kujenga? Hiyo ni Kazi ya sekta binafsi..Huyo unaemtaja hapa kajenga viwanda kwenye masoko sio wanakozalisha..

Unadhani sekta ya kilimo ni rahisi kama kuandika andika?
 
Kuna wataalam humu lakini hata shina moja ya mchicha hawana. Serikali ina sera mbovu sana katika kilimo huo ndio ukweli na ndio maana ktk nchi hii wakulima ndio kada maskini wa mwisho.
Wewe ulitaka wawe na sera gani kwa mfano,pendekeza hapa tuone
 
Binadamu hawako sawa,kama unavyoona vidole,kukiwa kwako kugumu,jua kwa mwenzako kwepesi,na siku kwako kukiwa kilwepesi jua kwa mwenzako kuzito.Ndoo dunia nzima ilivyo.Lazima kuweko maskini na matajiri,wenye kipato na wasio na kipato.Kuna hasi(negative)na kuna chanya (positive),toka dunia iiwepo,iko hivyo.Bila positive(chanya) na Negative(hasi)umeme haupatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…